mdizi 2021
Member
- May 4, 2021
- 55
- 53
- Thread starter
- #21
sawa mkuuMiez sita michache Sana hyo watu wanakaa Hadi miaka 20 na wanapima wanaambiwa hakuna tatizo lolote mtoto Ni neema kutoka kwa Mungu kuwa na subra kwenye Hilo
Nendeni hospital pata ushaur wa gynerclgst Mwenyez Mungu atakusaidia
Ikishindikana hospital Rudi katika Tiba mbadala Mana ukiwa na majini mahaba mwili huwa wanablock had kizaz