mdizi 2021
Member
- May 4, 2021
- 55
- 53
Habarini ndugu zangu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.mimi mdogo wenu nimeingia kwenye ndoa mwezi wa kwanza mwaka huu,hadi sasa mimi na shemeji yenu tuna miezi 6 ya ndoa yetu .lakini mke wangu mpaka sasa navyoandika uzi huu hana dalili yeyote ya kuwa na mimba inaniuma sana kwa kweli.
Je, nifanyeje ili mke wangu ashike mimba haraka au nitumie dawa gani niongeze vichocheo kwenye SPERMS ziwe imara kutungisha mimba, labda tatizo lipo huko. Niseme tu ukweli sikuwai kulala na mwanamke huko nyuma hata mmoja ila nilikuwa mzee wa CHAPUTA kwa sana, na mke wangu nimemkuta Bikira.
Najua humu wapo watu wajuvi na wazoefu bila kusahau madaktari waliobobea kwenye taaluma ya AFYA. Kwa wiki mimi na mke wangu tunakutana mara 3 kufanya tendo la ndoa.