Nifanyeje ili mke wangu ashike mimba haraka

Nifanyeje ili mke wangu ashike mimba haraka

Kaka kwanz pole sana pili hapo kuna mawili huenda kikwazo kipo kwako au kwake kwahy tuliza presha mm nakumbuka mwanamke wangu alikuw anatatizo la hormonie imbalanc ndan ya miez 7 napiga bila majib nilivyojua hilo tatizo nikaenda kweny clinic ya mitishamba boks lake bei simple san nilinunua elf 25,000 ila kwa dokta mwaka usije thubutu kwenda yule ni mpigaji kwahy nichek pm nikuelekeze huendw mkamuone huyo dokta tena ni bure kumuona acha na dokta mwaka nilienda unaambiwa kumuona dokta 20,000,checkup 30,000 mpk hapo 50 imekatika bado dawa nusu dozi 100,000 saiv mke wangu Alhamdulillah tulibahatika kupata mtoto wa kiume saiv anamiez miwil na tatizo lake limeisha

Nb;BILA KUSAHAU IBADA NA KUMUOMBA SAN ALLAH ABARIKI
Kiongozi ubarikiwe sana. Na Mimi mke wangu alipimwa na kukutwa na tatizo hili. Je naweza kupata muongozo zaidi kuhusu hiyo clinic iliyokusaidia?. Ila mimi nipo mkoani sio Jiji la Dar.
 
Kiongozi ubarikiwe sana. Na Mimi mke wangu alipimwa na kukutwa na tatizo hili. Je naweza kupata muongozo zaidi kuhusu hiyo clinic iliyokusaidia?. Ila mimi nipo mkoani sio Jiji la Dar.
Tatizo lilichukua muda gani kupona?
 
Mara 3 kwa week, na ndoa ina miezi sita, are you serious? Baada ya miaka 10 ya ndoa si mtakua mnafanya mara 1 kwa mwaka nyie.
 
Habarini ndugu zangu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.mimi mdogo wenu nimeingia kwenye ndoa mwezi wa kwanza mwaka huu,hadi sasa mimi na shemeji yenu tuna miezi 6 ya ndoa yetu .lakini mke wangu mpaka sasa navyoandika uzi huu hana dalili yeyote ya kuwa na mimba inaniuma sana kwa kweli.

Je, nifanyeje ili mke wangu ashike mimba haraka au nitumie dawa gani niongeze vichocheo kwenye SPERMS ziwe imara kutungisha mimba, labda tatizo lipo huko. Niseme tu ukweli sikuwai kulala na mwanamke huko nyuma hata mmoja ila nilikuwa mzee wa CHAPUTA kwa sana, na mke wangu nimemkuta Bikira.

Najua humu wapo watu wajuvi na wazoefu bila kusahau madaktari waliobobea kwenye taaluma ya AFYA. Kwa wiki mimi na mke wangu tunaku
Habarini ndugu zangu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.mimi mdogo wenu nimeingia kwenye ndoa mwezi wa kwanza mwaka huu,hadi sasa mimi na shemeji yenu tuna miezi 6 ya ndoa yetu .lakini mke wangu mpaka sasa navyoandika uzi huu hana dalili yeyote ya kuwa na mimba inaniuma sana kwa kweli.

Je, nifanyeje ili mke wangu ashike mimba haraka au nitumie dawa gani niongeze vichocheo kwenye SPERMS ziwe imara kutungisha mimba, labda tatizo lipo huko. Niseme tu ukweli sikuwai kulala na mwanamke huko nyuma hata mmoja ila nilikuwa mzee wa CHAPUTA kwa sana, na mke wangu nimemkuta Bikira.

Najua humu wapo watu wajuvi na wazoefu bila kusahau madaktari waliobobea kwenye taaluma ya AFYA. Kwa wiki mimi na mke wangu tunakutana mara 3 kufanya tendo la ndoa.
Pole sana ndugu yangu kwa changamoto unayopitia, lakini ningependa kukutoa wasiwasi kwa kuwa Ugumba ni hali ya kutoweza kupata ujauzito katika kipindi cha mwaka mmoja kwa wenzi ambao wamekuwa wakifanya mapenzi bila kutumia njia zozote za uzazi wa mpango kwa Mwanamke mwenye umri chini ya miaka 35 na miezi Sita kwa Mwanamke mwenye umri zaidi ya miaka 35 (CDC). Ko wakati Bado muda upo na ili kuondoa wasiwasi zaidi mnaweza kumwona mtaalamu mkafanya uchunguzi na vipimo
 
Mtoa mada nendeni hospital mkapime wote ,kama hakuna shida mtapewa dawa za kupevusha mayai ,hizi dawa zinanguvu ya kutafuta yai lenye ubora na hua zipo fasta zinarekebisha pia na tatizo la homon ya pregestorene kama lipo, bila hii homoni mwanamke hapati ujauzto ,anaanza dozi ndogo ,anafatilia na kubwa mwezi unaofata.

Asikwambie mtu tunawatoto wengi wamepatikana kwa hizi dawa sikuhizi ,sana sana hawa watu wanaozaa mapacha ni sababu ya hizo dawa ila hua hawasemi🤣 ila hazishauriwi kutumia zaidi ya miez 6.
 
Back
Top Bottom