Nifanyeje ili kuongeza ads impression kwenye site yangu?

Blues1

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2015
Posts
663
Reaction score
1,413
Habari wanajukwaa.
Mimi ni blogger anayechipukia na nimefanikiwa kuwa na site yangu ambayo napata viewers kuanzia 1000+ na kuendelea na nimeiconnect na propeller ads.
Tatizo langu ni kwamba ads impressions zinakuwa ndogo sana yani kwa site views 1000 naweza pata impressions 30 mpaka 40 kiasi kwamba naona kama nguvu yangu inaenda bure.
Naomba magwiji wa hizi mambo mnishauri kama kuna namna ya kusolve hii kitu.
 
weka url ya site husika.
 
Propeller ndo ilivyo hiyo boss wangu. Frequency ya pop ad umeweka maximum ?
 
propelerr ads sivyo ilivyo tofauti kati ya impressions na page views huwa inakuwa ni 200 au 100 na kitu tu,let say una page views 2000 unatakiwa uwe na impressions 1800 n.k.hapo dada angu ttzo ni settings zako tu na aina ya ads ulizoweka ila kiupande wangu mm hakuna ttzo hilo
 
kitu cha pili ningependa kujua unatumia platform gani,wordpress ama blogger.com
 
Natumia blogger
Unaweza ukanisaidia setting nzuri ambazo zita optimize impression mkuu
 
Tumia mfumo wao wa mawasiliano tiket uwaombe wakuongezee frequency ya pop ad iwe maximum

Watumia na ad id yake
Nashukuru nimewasiliana na support team wamenisaidia naona mabadiliko sasa
 
Tumia themes za kijanja kama sahifa kama una hela ya kununua ama nova press ya bure, Kabla ya article weka tangazo...katikati ya article weka tangazo..mwisho wa article weka tangazo.

Tumia ad inserter kuweka kabla ya article na mwisho wa article....tumia WP quads kuweka tangazo katikati...

Nyongeza:usipoteze mda kuhangaika na traffic ya wabongo, wafate wasauzi na tier 1 countries na kwa hizo clicks 30 waweza pata msimba
 
Tumia themes za kijanja kama sahifa kama una hela ya kununua ama niva press ya bure, Kabla ya article weka tangazo...katikati ya article weka tangazo..mwisho wa article weka tangazo.

Tumia ad inserter kuweka kabla ya article na mwisho wa article....tumia WP quads kuweka tangazo katikati...

Nyongeza:usipoteze mda kuhangaika na traffic ya wabongo, wafate wasauzi aka tier 1 countries na kwa hizo clicks 30 waweza pata msimba
mkuu hebu nisaidie kitu,nimepewa adsense akaunti na wamenipa code but kil nikiipaste kwenye site yangu wananamba unsapoted language,nifanyaje? blog yangu ina 5 months na nakamata viewe 10,000+ perday...
 
propelerr ads sivyo ilivyo tofauti kati ya impressions na page views huwa inakuwa ni 200 au 100 na kitu tu,let say una page views 2000 unatakiwa uwe na impressions 1800 n.k.hapo dada angu ttzo ni settings zako tu na aina ya ads ulizoweka ila kiupande wangu mm hakuna ttzo hilo
Dah jamani ktk ufukunyuku wangu wote hii biashara au taaluma imenipiga chenga kabisa yaani sina idea hata kidogo hivyo nawaomba nyie wenye utaalamu nayo angalau basi mjitolee kutupa elimu juu ya hii biashara walau kwa kutufundisha kwa kina tuijue kisha tujipime ubavu na akili je tunaiweza? Tafadhali nawasilisha ombi langu kwa yeyote mwenye utaalamu na hii biashara atakayewiwa kutufundisha wana Jf tusioijua but tunaovutiwa nayo.
 
Tumia mfumo wao wa mawasiliano tiket uwaombe wakuongezee frequency ya pop ad iwe maximum

Watumia na ad id yake
unachopaswa kujua pia ukiongeza ad frequency huwa cpm haiwi kubwa sana,hiz settings nilizozifanya hapa chini sijaweka ad frequency yyte na impression haitofautiani sana na page views,difference unakuta ni 100 au 200 tu bac.
 
Attachments

  • propela.png
    propela.png
    3.5 KB · Views: 46
mkuu hebu nisaidie kitu,nimepewa adsense akaunti na wamenipa code but kil nikiipaste kwenye site yangu wananamba unsapoted language,nifanyaje? blog yangu ina 5 months na nakamata viewe 10,000+ perday...
Hapo kuna uwezekano mkbwa unatumia kiswahili kwenye blog yako, Adsense hawaruhusu kuwekea matangazo blogs zenye kiswahili.....Cha kufanya pata verified adsense account ama ununue kwa mtu ndo ujitoe muhanga kuweka hio adsense kwenye websie yako...wengi wanafanya hivi
 
inawezekana kualter hizo ad units codes za google adsense na matangazo yakaonekana katika sites za kiswahili,siku nikipata nafasi nitakuja na somo lake hapa.
 
hii naskia inakuaga na shida endapo google watagundua ni kweli?
 
Hapo kuna uwezekano mkbwa unatumia kiswahili kwenye blog yako, Adsense hawaruhusu kuwekea matangazo blogs zenye kiswahili.....Cha kufanya pata verified adsense account ama ununue kwa mtu ndo ujitoe muhanga kuweka hio adsense kwenye websie yako...wengi wanafanya hivi
Verified naipataje?
 
Back
Top Bottom