Nifanyeje kuongeza followers kwenye ukurasa wangu wa Instagram?

elvis richard

Senior Member
Dec 6, 2014
195
205
Jamani ndugu zangu ..
Nimewakutanisha hapa ili tujadili kitu kimoja ambacho nahisi nahitaji msaada wenu wa hali na mali...

Mimi ni kijana ambaye nimejikita katika kujenga brand yangu kupitia mitandao hasa mtandao wa Instagram.

Kikubwa ambacho nimekikusudia na naendelea kufanya sasa hivi ni kukuza brand kupitia video za vichekesho pamoja na memez .

.lengo langu hasa ni kutaka kuikuza page yangu kupitia vichekesho kama nilivyosema hapo awali. Kupitia page yangu, nataka niwe na uwezo wa kutangaza biashara za watu na hatimaye kuwa ambasador wa bidhaa za wafanya biashara mbalimbali na hivyo kujiongezea kipato.

Lakini shida inakuja kwamba imekuwa ngumu sana kwa page yangu kukua. Namaanisha followers pamoja na views zimekuwa chache sana kwa kila post ninayo ituma.

Katika videos zote nilizopost ni moja tu ndiyo iliyopata views 2000 tu na si zaidi. Pia napata followers kwa uchache sana .
Sasa hivi nina followers 624 tu ...kitu kinachoniumiza sana .

Wataalamu naombeni mnipe shule ya maana ili niweze kutoboa kupitia Instagram ili niweze kufikia lengo langu.

So far ninachokijua ni kwamba ili post ziwafikie wengi zaidi ni kwa kutumia hashtags peke yake.

Naombeni mnijuze ni kwa namna gani naweza kuongeza followers pamoja na views kwenye page yangu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wataalamu.
 
.

Katika videos zote nilizopost ni moja tu ndiyo iliyopata views 2000 tu na si zaidi.
Pia napata followers kwa uchache sana .
Sasa hivi nina followers 624 tu ...kitu kinachoniumiza sana .

Wataalamu naombeni mnipe shule ya maana ili niweze kutoboa kupitia Instagram ili niweze kufikia lengo langu.
.
.
So far ninachokijua ni kwamba ili post ziwafikie wengi zaidi ni kwa kutumia hashtags peke yake.
.
Naombeni mnijuze ni kwa namna gani naweza kuongeza followers pamoja na views kwenye page yangu.
.
.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wataalamu.
.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu Kwanza hapo ulipo weka hiyo Post Sipo kabisa na Post yako. Hapahusiani kabisa na Mambo ya mitandao ni sehemu ya Jukwaa la JF Doctor umekwenda njia mbaya kabisa Moderator ataitoa post yako na kuipeleka sehemu husika. Hapa ni mahali pa kuhusian na mambo ya Afya ya binadamu sipo mahali pa matangazo ya biashara ya mitandao samahani sana.
https://www.jamiiforums.com/forums/jf-doctor.61/post-thread
 
Kukuza page Instagram:
1,
lipa watu wenye followers wengi ili wakutangazie page yako.. haswa wale wa page za umbea
Mfano: unampa elfu 20 unamwambia akupost na kukutag pia akusifie wewe ni bingwa wa vichekesho

2.
Lipia sponsored ads
Hapa utaweka budget video ifikie watu wa ngapi kwa muda flani n.k

3.
Jichanganye na masupastar hivyo utapata kiki siku moja usiodhani
4.
Post video quality na sound nzuri
Yaani watu watavutika
NB: JUHUDI NA BAHATI TU ZINALETA MAFANIKIO
 
Mkumbuke anasema yeye ni mposti vi clip vya vichekesho vya mitandaoni tu si kwamba yeye ndio anachekesha kama kina Dullvan, mwaisa nk...ngumu sana kukuza hiyo anaita Brand.
 
Naona watu wameamua kususia huu uzi,,au wapo kwenye maombolezo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Badilisha jina unalotumia weka manunu ,now ndio anatrend kisha anza kupost picha zake na umbea wa akina wema sepetu, kisha follow mastar wote unao wafaham kwenye sekta zote muzik, michezo movie ,ndondi,peji za umbea, usisahau pia wa mbele kina rihanna. Usisahau pia kupost matukio mbali mbali yanayotrend kwa muda huo.

Ukipata muda follow sana wale new to Instagram kwa siku wasipungue 50,
Utaona account inaanza kukuwa mdogo mdogo,. Kisha utabadili jina la account yako, followers wakiwa wengi
 
Sasa kufollow new users kuna matokeo gani au niseme kuna ongeza nini

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Jamani ndugu zangu ..
Nimewakutanisha hapa ili tujadili kitu kimoja ambacho nahisi nahitaji msaada wenu wa hali na mali...

Mimi ni kijana ambaye nimejikita katika kujenga brand yangu kupitia mitandao hasa mtandao wa Instagram.

Kikubwa ambacho nimekikusudia na naendelea kufanya sasa hivi ni kukuza brand kupitia video za vichekesho pamoja na memez .

.lengo langu hasa ni kutaka kuikuza page yangu kupitia vichekesho kama nilivyosema hapo awali. Kupitia page yangu, nataka niwe na uwezo wa kutangaza biashara za watu na hatimaye kuwa ambasador wa bidhaa za wafanya biashara mbalimbali na hivyo kujiongezea kipato.

Lakini shida inakuja kwamba imekuwa ngumu sana kwa page yangu kukua. Namaanisha followers pamoja na views zimekuwa chache sana kwa kila post ninayo ituma.

Katika videos zote nilizopost ni moja tu ndiyo iliyopata views 2000 tu na si zaidi. Pia napata followers kwa uchache sana .
Sasa hivi nina followers 624 tu ...kitu kinachoniumiza sana .

Wataalamu naombeni mnipe shule ya maana ili niweze kutoboa kupitia Instagram ili niweze kufikia lengo langu.

So far ninachokijua ni kwamba ili post ziwafikie wengi zaidi ni kwa kutumia hashtags peke yake.

Naombeni mnijuze ni kwa namna gani naweza kuongeza followers pamoja na views kwenye page yangu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wataalamu.

Post video upo uchi Mbona sekunde tu utakua na followers elf 10
 
Mmh kuwa fun page 2 au udaku wakiwa wenhi una badili tu jina na kufuta picha zoye
 
Jamani ndugu zangu ..
Nimewakutanisha hapa ili tujadili kitu kimoja ambacho nahisi nahitaji msaada wenu wa hali na mali...

Mimi ni kijana ambaye nimejikita katika kujenga brand yangu kupitia mitandao hasa mtandao wa Instagram.

Kikubwa ambacho nimekikusudia na naendelea kufanya sasa hivi ni kukuza brand kupitia video za vichekesho pamoja na memez .

.lengo langu hasa ni kutaka kuikuza page yangu kupitia vichekesho kama nilivyosema hapo awali. Kupitia page yangu, nataka niwe na uwezo wa kutangaza biashara za watu na hatimaye kuwa ambasador wa bidhaa za wafanya biashara mbalimbali na hivyo kujiongezea kipato.

Lakini shida inakuja kwamba imekuwa ngumu sana kwa page yangu kukua. Namaanisha followers pamoja na views zimekuwa chache sana kwa kila post ninayo ituma.

Katika videos zote nilizopost ni moja tu ndiyo iliyopata views 2000 tu na si zaidi. Pia napata followers kwa uchache sana .
Sasa hivi nina followers 624 tu ...kitu kinachoniumiza sana .

Wataalamu naombeni mnipe shule ya maana ili niweze kutoboa kupitia Instagram ili niweze kufikia lengo langu.

So far ninachokijua ni kwamba ili post ziwafikie wengi zaidi ni kwa kutumia hashtags peke yake.

Naombeni mnijuze ni kwa namna gani naweza kuongeza followers pamoja na views kwenye page yangu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wataalamu.
Wekq picha yako ya ngono ukimla mdada...
 
Back
Top Bottom