usiku wa leo nimetembea na mdada (nesi). Kodom ikapasuka nikajikuta natumia pekupeku.
Baada ya kumaliza ikatokea sitofahamu maana hatukuaminiana.
Ikabidi atafute vipimo vya kutest HIV-detamain na unigold (alikuwa navyo home)
Tulipima na kukuta wote tu wazima.
Wasiwasi wangu ni:
Bado siamin maana mtu anaweza akawa ameambukizwa siku tatu nyuma.
Je wadau nifanyeje ili kujiweka salama zaidi kama tahadhar?