Nifanye nini?

Hahahaaaa! Mambo DEMBA? Vipi ushaimaliza ile issue ya kumtania shem baada ya wewe kuwasikia wazee wakibanjuana?
sasa ulivyoona imepasuka si ungestop! yaani utamu bwana unasahau hata kama kuna kifo!!
 
Last edited by a moderator:
Shetani kumpitia MTU ni uongo MTU anatumia mwezi kushawishi mke wa MTU, akikatwa eti shetwani kampitia kwani umekuwa barabara.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom