Nifanye nini?

Nifanye nini?

Kama hadithi yako siyo hadithi,,,

Huyo nesi tayari ni positive na anajijua kwa sababu siamini kuwa nesi ambae ni professional hajui incubation period

ya HIV mpaka aamue kuchukua vipimo vya HIV mara baada kumaliza mliyoyafanya,,,

So amekudanganya ili kukupa matumaini,,, pole lakini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom