Nifanye nini?

Lee2

Member
Mar 6, 2014
46
14
usiku wa leo nimetembea na mdada (nesi). Kodom ikapasuka nikajikuta natumia pekupeku.
Baada ya kumaliza ikatokea sitofahamu maana hatukuaminiana.
Ikabidi atafute vipimo vya kutest HIV-detamain na unigold (alikuwa navyo home)
Tulipima na kukuta wote tu wazima.
Wasiwasi wangu ni:

Bado siamin maana mtu anaweza akawa ameambukizwa siku tatu nyuma.
Je wadau nifanyeje ili kujiweka salama zaidi kama tahadhar?
 
Hadi miezi mitatu mkuu ndo uta confirm tena so uko inaitwa incubation period
Pole am sure you gonna make it
 
Msaada kwenye tuta:
Wadau, hivi ni wapi naweza kupata vitabu vya Abunuwasi jijini Mwanza?
 
hahahahah kumbe bado watu wanaogopa ukimwi?
Maisha ya siku hizi ni mafupi jaman
under 40 unakuwa ushaded
so haina haja ya kuhofia
chunguza vifo vingi ni vijana na havihusiani na ukimwi
jaman Ukimwi si wa kuuogopa
mi mwenzenu siendi kupima na ninapiga peku mwanzo mwisho
 
Niagieni,niagieni,,ninakwenda kwa .....,sitarudi milele yote niagieni niagieni.Niagieni na JF wote,niagieni na nesi wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom