Nifanye nini tena labda mnishauri

Status
Not open for further replies.
Ahsnte saaaaaaanaaaaaa.......
 
Usimpe mtu haraka haraka tu Wiki mbili kuwa muangalifu inaonekana pia ulimuonyesha uko desperate sana jiamini binti 23yrs ushakuwa mdada mkubwa tu usilie lie tena
Sawa
 

Waswahili wanasema, "Penda mahali unapopendwa, mahali usipopendwa achana napo." Mimi nakushauri kubali hali halisi ya yote yaliyotokea na uendelee na maisha yako. Chukulia hilo tukio kama sehemu ya funzo ya mahusiano. Wakati ukiwa single jipe muda wa kutafakari na kujua wapi ulipokosea ili uweze kujirekebisha. Na zaidi ya yote sali sana na umuombe Mungu akuonyeshe mwanaume ambaye anakufaa, mwanaume ambaye atakupenda na kukuheshimu na sio mwanaume wa kukutumia na kukuacha pale anapomaliza haja zake kama toilet paper.
 
Ahsante sana kwa ushaur kaka yangu......nitaufanyia kaz
 
...Mwez jana nikakutana na
mkaka mstaarabu na
mwenye akili ya
maisha...

ulikosea kujaji mapema na bado unaendelea kujaji makosa kama mwanzo. futa kabisa kichwani hayo maneno hapo juu kwenye blue! utakua umepiga hatua sana katika kulishinda hili jambo.
 
Ni kweli.....Thank you
 
Duh ukisema mkaka mstaraabu naona ka unanisema mimi anyway turudi kwenye mada hapo mapenzi hamna tena manake wanaume huwa wananamaanishaga wanachosema, utapata mtu wako wa ukweli iko siku.
 
Duh ukisema mkaka mstaraabu naona ka unanisema mimi anyway turudi kwenye mada hapo mapenzi hamna tena manake wanaume huwa wananamaanishaga wanachosema, utapata mtu wako wa ukweli iko siku.
Ameeeeen
 
Kwanza nikupe pole kwa mkasa uliokukuta / kukutokea.
Kwa ushauri wangu na mtazamo wangu.
Kuna kitu ambacho nataka nitambue toka kwako, kipindi mpo katika uhusiano wenu wiki 2.
1. Umewahi kuongea nae kitu chochote kuhusu wewe kwa undani.
2. Umewahi kuonesha hisia za karibu sana kipindi upo nae.

Kama ulimuonesha hisia zako mapema mno kuwa unahitaji kuwa nae katika uhusiano, basi hapa umefanya kosa kubwa,
Hata kama umependa mwanaume kiasi gani, kamwe usioneshe hisia zako mapema kuwa umempenda kwa dhati.

Mkiwa katika uhusiano kamwe usimueleze kila kitu kuhusu wewe, na jaribu asijue kila kitu kuhusu wewe,
Mpe muda zaidi ya miezi sita hata mwaka mzima, hiki ni kipindi ambacho wapenzi huanza kufahamiana baadhi ya mambo kwa kiasi Fulani,

Labda huenda huyu mwanaume alikutambua kila kitu chako na baadhi ya mambo yako na jinsi ulivyo mpa mchezo,
Amekuona mwanamke dhaifu,
Na huenda akafikiria kuwa unafanya umalaya, au akitokea mwanaume mwingine utashindwa kuwa na msimamo dhabiti, hicho alicho kifikiria.

Hapo ungetakiwa uanzishe mahusiano nae lakini usingeonesha hisia zako kwa ukaribu,
Halafu ungejaribu kuonesha umakini, msimamo, na mwelekeo katika mambo yako, hata angekuomba mchezo ungemkatalia na kusubiri baada ya miezi 6 hata mwaka ndio umpe hii ingesaidia kumfanya aamini kuwa upo makini hata kama umependa kwa kiasi gani?

CHA KUFANYA / JINSI YA KUMRUDISHA
mvumilie kwa muda kidogo takribani wiki 2 au hata mwezi 1.
Mfuate tena mweleze kuwa huna kosa na unahitaji uwepo wake, unahitaji ukaribu wake, mmbeleze mwambie ukweli atakuelewa,
Na usifanye makosa kwa kumnyenyekea sana na kumwendea kila wakati unamuomba mrudiane.
Mshawishi kwa kila neno na kila namna ikiwa na sababu / maelezo ya kujitosheleza akakuelewa na mkarudiana.

Endapo atakubali mrudiane.
Kamwe usirudie makosa uliyofanya,
Na pia jaribu kumchunguza pia Hutu mwanaume kama ana familia, ama uhusiano na mtu mwingine,

( pia unaweza kumchunguza hata kabla hujarudiana nae, kama ana mpenzi mwingine ama familia, ni chanzo kipi kilimfanya achukue uamuzi wa kusitisha mahusiano yenu )

Akikataa kurudiana nawe / ukiona hana muelekeo wa penzi lenu kurudi,
Usiogope wala usiumie sana,
Maana hizi ni moja ya changamoto katika mahusiano, kabla ya ndoa.

Cha msingi, mwambie ukweli na hujapendezwa na maamuzi aliyochukua,
Na kama ameamua iwe wewe kubaliana na matokeo cha msingi Fanya mambo mengine ya muhimu,
Ambayo yatakuweka bize,
Huku ukijaribu kusahau maumivu ya kuachwa na mtu umpendaye.

Kumbuka malipo ni duniani, lazima yatamkuta tu huyu mwanaume.

Usiwaze sana jaribu kusahau mahusiano kwa muda mfupi.
 
Hivi mechi ya leo imeisha ngapi ngapi
 
Nyie ndio waumiza miyoyo ya watu kabisaa nyinyi wanafki ampendeki pia na mchekea mtu ila u dont say that u dont love someone.... U pple ur hell
 
Ahsnt sanaaa

Nimekuelew hakuna mfano
And I wil take ur words
 
Pole sana... Kapime kama hajakuachia kitu...
 
Ahsnt sanaaa

Nimekuelew hakuna mfano
And I wil take it words
Usijali ni wajibu wa kila mwanadamu kumsaidia binadamu mwenzake kwa matatizo mbali mbali kulinda na uwezo wao na wa mwenyezi mungu pia........

Nakutakia maisha mema ya uhusiano huko utakapoenda, but kuwa makini tena sana.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…