Bacyclerbacy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,863
- 3,415
- Thread starter
-
- #41
Ahsante sana nimekuelewa vizur....Cwez kurudia kosa tena nimepata fundishoPole Sana ila wanaume ni viumbe fulan kama simba mwenye njaa hua anatafuta kila namna yakuwinda kitoweo akishawinda anakula anashiba anatulia, huyo mwanaume alitaka kupita tu, yawezekana uko vizur kila sekta ila huyo mwanaume alitamani mchezo tu asepe na pia ujifunze jaribu kumchunguza mwanaume kwanza ili ujiridhishe mana wengine waume Za watu hawavai Ata pete mwisho wa cku anakudanganya atakuoa kumbe anafamilia yake, wanaume wakat mwingine mnawafanya wanawake wawe na roho mbaya katika mahusiano sasa wik, 2 ushapata mzigo afu umepewa akiwa na Iman kapata mume afu unazima moto gafla, unahis huyu bint akijakupata mwenye malengo atamwamin Tena, dada tulia sasa omba mungu wako akupe ubavu wako afu pia jitahid kumsoma mtu ujiridhishe kabla yakuanza mahusiano mapya Hawa ndio wanaume wa digital cm ikishaisha Chaji na namba ya demu wake anaidelete wanaume mungu anawaona!!!
Acha kulia, maisha yataenda tu kama kawaida. Tatizo kubwa kwetu sisi binadamu niwagumu kukubali tatizo, na usilazimishe huenda atakufanyia makubwa ukiforce!!! Mshukuru mungu amekitamkia kuliko angeendelea kukumega halafu baadae sana akakitosa.Ni kwavile nilimwamin saana.
Pole sana.. Jiamini, Kuwa mvumilivu, hapana kukata tamaa, 2 weeks ni muda mfupi kuweza kutoa Judgement khs mwenza wako.Nilikuwa single kwa muda mrefu sikuwa na imani na wakaka hata kidogo. Mwez jana nikakutana na mkaka mstaarabu na mwenye akili ya maisha alinivutia sana kwa maana alikuwa anahitaji mwanamke wa maisha halikadhalika mimi.
Nikajikuta nimezama kwa kipindi kifupi ndani ya wiki 2 nilijikuta nimemuamini
Ghafla tu akaacha kupokea simu zangu na kutojibu ujumbe
Sikukata tamaa nilimtafuta tena kwa upole sana maana sikujua kosa langu na hatukugombana
Duuuuh sikuamini text yake ya mwisho ilinihuzunisha saaaaanaaa "Its over..kwasasa siko tayari kuwa katika mahusiano"
Nawaza sijui nini nimemfanyia nakosa amani na naogopa kumsumbua zaid nahisi atanichukia.
Thank you very muchAcha kulia, maisha yataenda tu kama kawaida. Tatizo kubwa kwetu sisi binadamu niwagumu kukubali tatizo, na usilazimishe huenda atakufanyia makubwa ukiforce!!! Mshukuru mungu amekitamkia kuliko angeendelea kukumega halafu baadae sana akakitosa.
Stand up!!!!!!! Life goes on
SawaPole sana.. Jiamini, Kuwa mvumilivu, hapana kukata tamaa, 2 weeks ni muda mfupi kuweza kutoa Judgement khs mwenza wako.
Yawezekana jamaa yako kapatwa na Uoga au kuna kitu hajavutiwa nacho toka kwako sababu ya muda mfupi mliokaa ktk uhusiano,
mpe muda anaweza akakuelewa na akarudisha mawasiliano tena na ww.
Huko ni kukata tamaa.... Hakuna sababu ya kufanya hivyo. Kila siku ni kujifunza. Mwamini Mwenyenzi Mungu.Ahsante sana nimekuelewa vizur....Cwez kurudia kosa tena nimepata fundisho
Namwamin saaana Mwenyez Mungu.....ila nahc nimeshapatwa na uoga tenaHuko ni kukata tamaa.... Hakuna sababu ya kufanya hivyo. Kila siku ni kujifunza. Mwamini Mwenyenzi Mungu.
Kila jambo ni wakati.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Wakati mwingine kutaka kujua kwanini(why!?) huwa inaumiza zaidi
Potezea tu
Santepole sana aisee mungu anamuona
Thank youKuna watu walipenda kama wewe sasa wanatamani bora ingekuwa kama wewe wapate nafasi nyingine ya kuwa na wenza tofauti!!
Dry your eyes and move on!
What doesn't kill you makes stronger!!
OkiMwanamke na kuongopewa wanaishi jirani sana, ukimtongoza binti ukamuomba mapenzi tu bila ndoa hutapata kitu ila ukimwambia nitakuoa baadae ooh! Ndani ya wiki 2 tayari umeshambunguwa. Kila mtu na msalaba wake maana baada ya miezi kadhaa utadanganywa tena kwa style nyingine kwani wanawake wengi mnapenda sweet lies.
Hongera sana kw kuwa karibu na Mwenyenzi Mungu [emoji120] [emoji120]Namwamin saaana Mwenyez Mungu.....ila nahc nimeshapatwa na uoga tena
Sawaa[emoji120]Hongera sana kw kuwa karibu na Mwenyenzi Mungu [emoji120] [emoji120]
Ukitulia Uoga unaisha...
Maisha hayahitaji Uoga, muhimu ni kuchukua tahadhari....
Usiwaamini saana wanaume, pia usiwe mwepesi Sana kumpa mbunye yako. Love take time.Ni kwavile nilimwamin saana.
Thank youUsiwaamini saana wanaume, pia usiwe mwepesi Sana kumpa mbunye yako. Love take time.