Nifanye nini niweze kumsahau?

Nifanye nini niweze kumsahau?

Mkuu mwanaume inatakiwa utumie akili kupenda na sio Moyo.Huyo mwanamke n hakufai anapenda pesa na si wewe tena shukuru umejionea mapema.
Weka focus yako kutengeneza maisha yako,kama una namba yake delete kabisa utamsahau tu huyo.Tafuta mwanamke mwingine
 
Find someone who isn’t afraid to admit that they miss you, who knows you aren’t perfect but treats you as if you are, who’s biggest fear is losing you, who says “I love you” and means it with all of their heart, someone who believes leaving and giving up isn’t an option
 
oky mkuu cwez kupita bila kukup msaada wa dhati kabisa ili.umsahau chukua magadi changany na aloevera weka habat soda kiberiti upele kiac korog mpak mchanganyiko uwe lain kisha unywe kila cku kwa wiki moja au zaid utavoon unamsahau uje urupe mrejesho mkuu weng wamepon kwa daw zang
 
Ndio hilo alkua anamlisha mtoto wa watu, pengine kuna aliowaacha au kuwakataa wenye hela zao,
Mtu anamaisha yake unamkulupua anajua tayari nishafika blaa blaa
nyingi zinaanza sina pesa ngoja nitafute kazi [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Mtu anamaisha yake unamkulupua anajua tayari nishafika blaa blaa
nyingi zinaanza sina pesa ngoja nitafute kazi [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pengine hapo kabla jamaa hajala mzigo alkua akimpa ela na dem kaona ili asitume kwa ubahili tena wacha nkampe tunda ili atume ela vizuri, matokeo yake jamaa kala mzigo afu badala ya kutuma ela analeta blaablaa nyingiii mwishowe kampa BAN[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom