Nifanye nini niweze kumsahau?

Nifanye nini niweze kumsahau?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pengine hapo kabla jamaa hajala mzigo alkua akimpa ela na dem kaona ili asitume kwa ubahili tena wacha nkampe tunda ili atume ela vizuri, matokeo yake jamaa kala mzigo afu badala ya kutuma ela analeta blaablaa nyingiii mwishowe kampa BAN[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] kaona muda wayoyoma BAN ndiyo inamfaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeye akatafute pesa kwanza
 
Mtu anamaisha yake unamkulupua anajua tayari nishafika blaa blaa
nyingi zinaanza sina pesa ngoja nitafute kazi [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Na hapo ukute dem kaja na simu kali balaa yake inaingia hapo mara 3[emoji23][emoji23][emoji23]

Mi mmoja nilimmwaga live baada ya kuja na cmu ya laki8 afu mpya wakati hana kazi kuuliza blabla nyingi nkamwambia tuishie hapa.
 
Simu ya laki8 halafu wewe unayo ya elf 40 [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hapo utamwambia nini!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndio maana yake, kabaki kutulilia sisi huku tuu badala ya kutoa hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo mwanzo wa visasi unapoanzia hapo, unahudumia kumbe unachunwa mwisho wa siku ni kubwagwa [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Simu ya laki8 halafu wewe unayo ya elf 40 [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hapo utamwambia nini!
Nilikua na simu ya 150, yaani nanunua cmu 5 na chenji inabaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndiyo mwanzo wa visasi unapoanzia hapo, unahudumia kumbe unachunwa mwisho wa siku ni kubwagwa [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndio ajifunze sasaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom