Nifanye nini niweze kumsahau?

Nifanye nini niweze kumsahau?

huyo jamaa ni financially broke. Weww endelea kumtia moyo.

Sasa huyo demu akitaka kumuoa atamlisha mawe?
Simtii moyo...nakuambia ukweli.

kwa hiyo wenye pesa hawaachwi??

hizo pesa ni kiasi gani. unafikiri demu anaewaza billion pesa unayotaka awe nayo huyu itamtosha.

Hapendwi basi.. inatosha basi maana kuna wapo kama yeye wanapendwa.
 
Sijawahi kuona mwanamke anamwacha mwenye pesa sana sana huwa wana cheat sio kuacha.
 
Huyo mwanamke yupo kimaslahi mwache aende atakapochoka kudanga atakukumbuka tafuta kazi upate pesaa mwanamke anayekupenda atakuja mwenyewe

Sawa mkuu japo ni kazi kumsahau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom