Nifanye nini mimi?

CHAGUA MMOJA KATI YA HAWA WAWILI.
1. YESU KRISTO (Pacifist)
Mathayo 5:44 imeandikwa wapendeni adui zenu.
Mathayo 18: 22 Samehe 7 ×70.
Math 22: 39, 19: 19, Luk 10: 27 Imeandikwa mpende jirani yako kama nafsi yako.

2. MUHAMMAD (Kiongozi wa kikundi cha Waislamu)
Al kisasi khaki, jino kwa jino
 
Ufanyeje vipi, kwani mchawi unaporoga watu, huelewi dawa ya kuneutralize au kwa lugha nyingine 'kurogoloa'?

Af mi sipendagi stori hizi za kichawi na kishirikina, maana hazina fomular wala mantiki.
 
Ufanyeje vipi, kwani mchawi unaporoga watu, huelewi dawa ya kuneutralize au kwa lugha nyingine 'kurogoloa'?

Af mi sipendagi stori hizi za kichawi na kishirikina, maana hazina fomular wala mantiki.
mda mwingne kuweni hata na akili kidogo. Yaani mawazo yako unataka kila mtu ayafuate ndugu. Toka juu hadi chini ni wapi uchawi umeongelewa au kutajwa hapo. Tatizo umetumia kamasi badala ya ubongo afu nakuomba iwe mwisho kuchangia ninachokiandika jf.
 
japo siamini mambo ya bibilia na quran ila naomba nikujibu hivi:
mimi naamini kuwa hata kama nimehusika hapo ni wao wameamua kuniweka hapo coz mim after kupata zangu nilihama jumla nikaendelea na maisha yangu na mpaka sasa hata hiyo story nilikuwa nimeisahau kitambo sana coz hata mtoto wangu wa mwaka 2012 saiv ana miaka 14 sasa mda huo wote leo hii mtu kafeli kivyake wadai kuwa chanzo ni hicho nimebaki njia panda na ndio maana nikauliza nifanye nini mimi?
 
JF VAR CHECK

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…