Kuna kitu naomba nikusimulie uone kati yetu alozingua nani kuna siku nimetoka zangu kumrudisha bosi niko road nikasimamishwa na watu 4 nikasimama wakanionyeshea kadi kuangalia ni wanajeshi wakirusi nikasema basi wakaniambia niwapeleke mpaka mpakani nikasema leo nimekufa tukiwa road mmoja akaniambia nimpigie mke wake nimwambie nimetumwa na mpenzi anayempenda sana ila yeye mwanamke ataje mpenzi wake anaitwa nani ili huyo mpenzi wake ajivunie. Kweli zoezi likatiki mwamba akatajwa tena na manjonjo mengi wakati narudi nikawaza hivi yule jamaa asingetajwa pangetokea nini nikaona. Ni ujinga haya niambie mwanajeshi alikuwa mtoto?Ndicho nilicho mwambia pia, we mtu mna hard life ila nguvu ya kulewa na kuwaza ujinga ana itoa wapi!
Matumizi yameoga mpaka yeye anasema basi ndugu zake wanataka niende kwao wakanilime mahari wakati umri wangu nahitaji kukomaaWanaomuharibi ni hao ndugu zake baba mdogo na shangazi! Kama maelezo uliyotoa ndio hayo, basi huyo mwanamke ni vilw tu amekuchoka. Fanya muhamie mbali na ndugu zake na umbane kuwapigia simu ndugu zake ndiyo wanampa jeuri, akiharibikiwa atajuta badae!
Pia, uwe unampa mpa vijisenti vya matumizi binafsi, usiwe bahiri sana, wanawake wengine akili zao kama watoto, unakuta kuna muda anakuwa na hamu hata ya kununua pipi!
Matumizi yameoga mpaka yeye anasema basi ndugu zake wanataka niende kwao wakanilime mahari wakati umri wangu nahitajiWanaomuharibi ni hao ndugu zake baba mdogo na shangazi! Kama maelezo uliyotoa ndio hayo, basi huyo mwanamke ni vilw tu amekuchoka. Fanya muhamie mbali na ndugu zake na umbane kuwapigia simu ndugu zake ndiyo wanampa jeuri, akiharibikiwa atajuta badae!
Pia, uwe unampa mpa vijisenti vya matumizi binafsi, usiwe bahiri sana, wanawake wengine akili zao kama watoto, unakuta kuna muda anakuwa na hamu hata ya kununua pipi!
Mkuu hamna labda la kwenda kwao kabla sijaondoka na kwenye usafi sijisifii mkuu hata ndugu zangu wananijua navoipenda familia yangu tatizo ni hawa ndugu zake wamemwambia tumekaa miaka mitatu hatujawahi kwenda kwao karibu tunawapita kama vile siyo ndugu zakeNi kosa mkuu mtu mbinafsi pekee anaweza ona sio kosa. Huwezi jua alikua mazingira gani alipopata hizo taarifa,unaweza ua mtu kwa presha. Bado akapoteza muda wa watu waliokufata kujua kulikoni hapo ulimuharibia kwa watu wake wa karibu kiasi cha kupuuzwa na kuonekana mzushi.
Pia kuna vitu umeremba sana unaficha tatizo ili uonekane u msafi. Mkuu hicho unachokificha ni adui yako mkuu
Mkuu huo umri nitaufikisha kweli tatizo haya manchi ya watu kufa nje nje ndo nachoogopaMwanaume utaoaje ukiwa na miaka 24? Piga chini huyo mwanamke kula ujana ukifisha kuanzia miaka 30+ ndo uanze kutafuta Bikra uoe, tena tafuta kuanzia Binti wa miaka 18 hadi 23 ndo
Huo umri ulionao sasa utumie kujijenga kiuchumi
AminaUbarikiwe mkuu
Hahahahah..hata mimi nimepambana nalo kweli yan. Gumu kinoma. Ila daah.Nimepambana nalo gazeti mpaka nimelimaliza
Sjui wanawake wa namna hii wanatakaga nn
nakushauri usimuache,mpe likizo akatulize akili kwao baadae atakuwa sawa
Ukiona wanaanza ku test mitambi kama hivyo!mwache aende tu!usiumize kichwa!Ndo nilichoamini mkuu
Na nilikuwa naumia vibaya alafu kibaya mahaliko alitakiwq aende wakamkataa kijanja wakamwambia aende kwa bibi yake mdogo huko ameendq kuwa beki tatu wa watu mkuu mwanangu ameenda kuteseka bure manUkiona wanaanza ku test mitambi kama hivyo!mwache aende tu!usiumize kichwa!
Ahsante mkuu ila tatizo lipo hivi mimi sikai nchini na natakiwa niende kazini ameondoka bila utaratibu wowote juu ya malezi ya mtoto mkuu alafu anaweza kurudi nikiwa sipo ndo tatizoCha kukushauri, mpe mwanamke anachotaka. Hawa watu wengi wao wakishaanza haya mapicha picha jua kabisa una deal na mtu (watu)mwingine /wengine hapo kati.
Cha kufanya kwa haraka ni kwamba MUACHE ARUDI KWAO ANAKOTAKA. KATA MAWASILIANO. AKIKIYTAFUTA KUOMBA MATUNZO YA MTOTO MPE. ILA ACHA AKAEE NA AKIRUDI ARUDI KWA TARATIBU ZAKO.. WEKA TARATIBU NA KANUNI ZA KUONGOZA NYUMBA YAKO
Hii ndoa ya watoto isikupe headache.Ila ndoa hizi. Ndoa kumanyoko.
Mkuu wengine wakiwa na stress hawaezi zingatia mambo kama hayo, wao huandika kile kinachotoka kichwani tu, msamehe bure na umpe ushauri.SERIOUSLY MKUU WEWE NI MEMBER TANGU 2020 UNAANDIKA UZI MREFU NAMNA HII BILA HATA NUKTA HUMO KATI??
Apunguze utoto, Ke wana njia nyingi sana za kuwatuliza.Bado hujakua mzee baba, eti tukafanya utani wa kusema nime kamatwa na polisi 🤔