Mussa waukweli.
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 534
- 319
- Thread starter
- #41
mvumilivu hula mbivu kama si bovu!
Hasa lakn mh
mvumilivu hula mbivu kama si bovu!
Vumilia tu kijana, atakuwa field.
Mpenzi wangu alienda chuo Dar mwenzi wa pili mwaka huu na akanipa ahadi kwamba mwenzi wa sita atarudi mimi niko Mwanza huwa tunawasiliana vizuri. Lakini imefika hiyo tarehe nikamuuliza vipi maandalizi ya safari yako akanambia ratiba imevurungika ataniambia siku yeyote ratiba ikikamilika.
Nilipata hasira sana juu ya hilo nikawaza mambo mengi sana na nikiaangalia toka mwenzi wa pili sijakutana na mwanamke yeyote nikafkiria labda ameshapata wa kumutuliza wa huko chuo, hadi Leo hii tarehe kumi na mbili sioni ratiba ya kuja wala muelekeo nimepata hasira sana namuona kila mtu kanikosea hasira nilizonazo.
Nifanyaje wana JF juu ya hili