Nifanye nini juu ya hili

Nifanye nini juu ya hili

well muda atakao pokea ongea nae..... katika hili kama unampenda inakubidi ujishushe maana girl akishapata wa kukulinganisha na wewe huwa anasumbufu sana... dharau ndo symptom ya kwanza kama kuna jamaa anamsumbua akili...

WIN her back kama unampenda

Dah moyo wangu
 
Umenipa pressure aiseeeee dah

Kuna binti anasoma uds anaishi hostel za mitaani uku mbali tu na chuo, ilitokea tukazoeana kumbe anamtu wake na alijua hajawai kufanya mapenzi na jamaa yake anajua hilo na anamsubili amalize masomo amuoe, mwaka jana nilivunja glasi na binti alikolea kiasi kwamba niliogopa uyo jamaa ataweza ata kumuua ikabidi nipunguze mazoea nae ila ningeamua kuoa kabisa ningeoa
 
Mpenzi wangu alienda chuo Dar mwenzi wa pili mwaka huu na akanipa ahadi kwamba mwenzi wa Sita atarudi Mimi niko mwanza huwa tunawasiliana vizuri
Lakini imefika hiyo tarehe nikamuuliza vipi maandalizi ya safari yako akanambia ratiba imevurungika ataniambia siku yeyote ratiba ikikamilika
Nilipata hasira sana juu ya Hilo nikawaza mambo mengi sana na nikiaangalia toka mwenzi wa pili sijakutana na mwanamke yeyote nikafkiria labda ameshapata wa kumutuliza wa huko chuo... hadi Leo hii tarehe kumi na mbili sioni ratiba ya kuja wala muelekeo nimepata hasira sana namuona kila mtu kanikosea hasira nilizonazo.

Nifanyaje wana jf juu ya hili

Baadhi ya vyuo bado hawaja funga, pia inaweza akapata field sehem nyingine tofauti na alipo tarajia.
 
Kuna binti anasoma uds anaishi hostel za mitaani uku mbali tu na chuo, ilitokea tukazoeana kumbe anamtu wake na alijua hajawai kufanya mapenzi na jamaa yake anajua hilo na anamsubili amalize masomo amuoe, mwaka jana nilivunja glasi na binti alikolea kiasi kwamba niliogopa uyo jamaa ataweza ata kumuua ikabidi nipunguze mazoea nae ila ningeamua kuoa kabisa ningeoa

Mapenzi yana umiza aiseee...
 
maisha haya ya kulialia mimi siyapendi sana kwa wavulana, sasa ukiwa mwanaume itakuwaje....?
 
Unateseka nini,watanzania ni watu wa maamuzi magumu,wewe mpigie simu mwambie umefanya maamuzi yukuendelea na maisha mengine,nakusihi maana mapenz ya mbali yanatesa sana hasa kwa yule mwenye penzi la dhati,chukua uwamuzi huo,ama wewe kua kimya fanya mambo yako utaona kama hakutafuti mara kwa mara ndo ujue kuna mtu anamkuna kisawasawa,uwamuzi wakumwambia mmeachana ni mzuri koz mind set yako itabadirika kumuwazia yeye,i did the same means some years ago i saw how it works out
 
Siku hizi lawama zaja JF mnawatisha ambao hawajaanza mahusiano.
Wenye ndoa wanalalamika, walionjr wanalalamika sijui nani tumuelewe
 
Kweli kaka nampenda xn huyu msichana lkn Ile ahadi yake sijaona ukweli wake
 
Siku hizi lawama zaja JF mnawatisha ambao hawajaanza mahusiano.
Wenye ndoa wanalalamika, walionjr wanalalamika sijui nani tumuelewe

Hakuna fundi wa mapenzi.. ila kupata ushauri ni kawaida
 
Mpenzi wangu alienda chuo Dar mwenzi wa pili mwaka huu na akanipa ahadi kwamba mwenzi wa sita atarudi mimi niko Mwanza huwa tunawasiliana vizuri. Lakini imefika hiyo tarehe nikamuuliza vipi maandalizi ya safari yako akanambia ratiba imevurungika ataniambia siku yeyote ratiba ikikamilika.

Nilipata hasira sana juu ya hilo nikawaza mambo mengi sana na nikiaangalia toka mwenzi wa pili sijakutana na mwanamke yeyote nikafkiria labda ameshapata wa kumutuliza wa huko chuo, hadi Leo hii tarehe kumi na mbili sioni ratiba ya kuja wala muelekeo nimepata hasira sana namuona kila mtu kanikosea hasira nilizonazo.

Nifanyaje wana JF juu ya hili

mdogo wangu niskilize mm dada yako, tulia hapa mwanza tukale sato. Huyo si wako tena. Ushauri tafta hela utasahau izo hasira ulizo nazo. Sawa dogo.
 
Back
Top Bottom