Dodoma comfort
JF-Expert Member
- Apr 20, 2024
- 459
- 815
- Thread starter
-
- #101
Mtoto bado mwanafunzi huyo isitoshe alipigaga one o level hvo kama mzazi lazima awe na uchungu na mtoto wake ,kwahyo wewe binti Yako wa kike akipata mshkaj mwenye hela unakausha hata kama Bint ajamaliza shuleUnaonekana limbukeni wa wanawake! Alafu Ukute ndo kwanza unakaa kwenye chumba kimoja ila unaendekeza hisia za mapenzi! Ungekuwa una hela unadhani baba yake angekohoa??
Hilo nitalifanyia kazi mkuu kabisa yaan apoSkia akimaliza tu six akuzalie, afu next year azame chuo, bila hivo akienda chuo atakusahau mze,just my view.
Kuna sehemu ukifika mkuu unazama deepKweli umependa Paul, hauambiliki
Na machozi yako yatatoka deep hivyo hivyo mkuu, kila lakheri.Kuna sehemu ukifika mkuu unazama deep
Linda mgongo wako hali ni mbaliUjinga ujinga tu !, sijui matoto ya sikuhizi yana shida gani vichwaniπ
Nina plan A,B,C sio rahisiNa machozi yako yatatoka deep hivyo hivyo mkuu, kila lakheri.
Hizo plan zitasambaratika kwa tukio la siku moja tu kaka, niamini mimi...Nina plan A,B,C sio rahisi
Ndio nimemtoa bikra piaHizo plan zitasambaratika kwa tukio la siku moja tu kaka, niamini mimi...
Huyo Gen Z atakupiga tukio utasahau plan zote kaka.
Kwanza umesha mlala?
Sasa kama unajua binti hajamaliza shule kwanini unaanzisha nae mahusiano wewe utakubali mwanao awe na mahusiano akiwa shule tena na kijana mwenye akili za kitoto kama za kwako?? Yani unaanzisha kabisa thread ya kuomba ushauri nini ufanye usiachwe na mwanafunzi?? We chuo unaonekana ulikuwa unapiga nyeto! Kua acha utoto!Mtoto bado mwanafunzi huyo isitoshe alipigaga one o level hvo kama mzazi lazima awe na uchungu na mtoto wake ,kwahyo wewe binti Yako wa kike akipata mshkaj mwenye hela unakausha hata kama Bint ajamaliza shule
Wakuu kwema ,naombeni ushauri Niko kwenye mahusiano na binti age 20 Kwa sasa na ni Yuko advance huko mkoani,Mimi Niko dar ,huyu Binti ameonekana kunipenda sana na Mimi nampenda pia ,pia nashukuru Mimi ndio mwanaume wake kwanza Binti pia anamalengo ya kuja kuanzisha familia na Mimi coz Kwa sasa Nina miaka 25 na najitambua kabisa na Kuna mbaga nafanya baada ya kuona kufatilia ajira za serikali ni michosho
Je nizidi kumsubiri Binti aje kuwa my wife?
Au nianzishe niwe na mwingne tu maana Binti ana miaka kama mitano hivi ya elimu ,Japo kwao mama ake na baadhi ndugu zake wananijua ila Mzee wake ndio mkaksi alitaka kuniletea noma ila nashukuru Mungu nilitoka salama
Thus ;naombeni ushauri wenu apo nifanye nini ili Binti nisimpoteze hizi apa texts zake ππΎhizo xx , baby wangu bado sio mjanja mjanjaπππ
Ameenda shuleMkuu, kwanini anatoa lainiii kwenye simu?
Umemsave mke wangu masikini π€¦ββοΈ
Kuna sehemu ukifika utaangalia Kuna wa kupita na Kuna wa malengoSasa kama unajua binti hajamaliza shule kwanini unaanzisha nae mahusiano wewe utakubali mwanao awe na mahusiano akiwa shule tena na kijana mwenye akili za kitoto kama za kwako?? Yani unaanzisha kabisa thread ya kuomba ushauri nini ufanye usiachwe na mwanafunzi?? We chuo unaonekana ulikuwa unapiga nyeto! Kua acha utoto!
Yuko six age 20π₯Ή
Good job...Ndio nimemtoa bikra pia
Sawa mkuu ni kusubiri tu itakavyokuwaGood job...
Kila lakheri katika kumsubiri ila punguza matarajio...
Akili ya mwanamke hua tuna ipima akiwa exposed kwa wanaume tofauti tofauti...
Akikutana na wanaume wenye hadhi, pesa na sura kuliko wewe, ataendelea kukuchagua!!
Nimecheka sana hizo ahadi zenu. Karibia kila mtu mwanaume kapitia hiyo phase. Ukweli ni kua mwanamke wa utotoni au uliyeanza nae ujana hua hamuoani kutokana na jinsi structure ya maisha ya mafanikio ya mwanaume zilivyo. Kiufupi doho unapoteza muda wako hapo.
Ngoja ajue kuandika vizuri huyu jamaa atajuta π