Nifanye nini ili niache kubet?

Nifanye nini ili niache kubet?

Ukiishiwa tu utaacha.au ongeza dau la kubet,uwe unafunga mkeka wa laki ukiliwa unahifadhi risiti.halafu siku moja uje uzihesabu hizo risiti
watu kama ww wamenishauri wengi sana ila mmeegemea upande mmoja wa kuliwa je nikiwa naweka laki nakula kila siku itakuwa aje
 
watu kama ww wamenishauri wengi sana ila mmeegemea upande mmoja wa kuliwa je nikiwa naweka laki nakula kila siku itakuwa aje
Wana wivu hao achana nao mm Nina mwaka wa 2 tank yangu najaza full kwa pesa ya mzungu.na tena nimefurahi nimeona Princess wanafungua brach tabata ntakuwa natoka na tauro
 
Kama wewe ni mwanafunzi. Chukua pesa yote ya ada kisha tia mkeka.

The aftermaths will make you quit
 
This is true, ni kazi gani utafanya uingize laki mbili kwa lisaa katika nchi yetu hii?
Acheni watu wabeti jamani, mtu unalaza laki 4-6 kwa siku kwanini uache hio kazi!
Wana wivu hao mkuu wanajifanya wanakataa sababu ya dini wakati wana vimada.bora wabeti wakale bata na pesa ya mzungu
 
Nilikuwa kamaria mkubwa sana kipindi cha nyuma!

Ilikua kila siku lazima nibet. Ila sasa kutokana na zile "near misses" (mkeka wa mamilioni kuchanwa na event moja) nikaamua nipumzike na sasa sibet tena wala sipati mzuka wa kubet japo kwenye simu yangu nina app ya m-bet na meridianbet.

Ninavyojitathmini siwezi kusema nimeacha kubet bali nipo kwenye local leave.

ac41ab1402c77d3ef8d380faad0d1e2f.jpg

Hivi hii ni ya kweli? Kama jibu ni ndio basi inaniboost morali ya kurudi uwanjani.

Warning: DO NOT BET YOUR LIFE AWAY.
 
Chukua akiba yako yoote tena na ongezea nyingine kopa kabisa alafu bet mechi ngumu kuliko zote, ukipata ushindi usibet milele, ukikosa ushindi usibet milele na utakua umekoma automatically.
 
Chukua akiba yako yoote tena na ongezea nyingine kopa kabisa alafu bet mechi ngumu kuliko zote, ukipata ushindi usibet milele, ukikosa ushindi usibet milele na utakua umekoma automatically.
Betting ukiacha tamaa kupata ni rahisi. Kwanza pitia game za siku. Fanya analyse ya game kama 6 hivi. Tafuta odds Isizidi 4-5. Weka mpunga.

NB. Bet what ur afford to lose.
 
Dah! wewe unataka kuacha me nataka nijifunze kubeti hasa mechi za Arsenal maana huwa sipati taabu kubashiri mechi za Arsenal.
Muombe Mungu,mwambie kuwa unataka kuacha kubet na utaacha.
 
Nilikuwa kamaria mkubwa sana kipindi cha nyuma!

Ilikua kila siku lazima nibet. Ila sasa kutokana na zile "near misses" (mkeka wa mamilioni kuchanwa na event moja) nikaamua nipumzike na sasa sibet tena wala sipati mzuka wa kubet japo kwenye simu yangu nina app ya m-bet na meridianbet.

Ninavyojitathmini siwezi kusema nimeacha kubet bali nipo kwenye local leave.

ac41ab1402c77d3ef8d380faad0d1e2f.jpg

Hivi hii ni ya kweli? Kama jibu ni ndio basi inaniboost morali ya kurudi uwanjani.

Warning: DO NOT BET YOUR LIFE AWAY.
Nikweli mkuu
 
Kubeti ni kubashiri, kubashiri na kupiga ramli ni chukizo kwa Mungu. Kasome kitabu kizima cha kumbukumbu la torati.
Kwa hiyo mkuu kwa mfano ukibashiri mechi bila kuweka pesa ni dhambi?? au kubashiri kama mkutano utakuwa na watu wengi au wachache ni dhambi??
 
Jamani nifanye nn ili niweze kuacha kubet kwasababu mm imekuwa ni zaidi ya madawa
ya Makonda.
Yaani nisipo lala na mkeka ata usingizi sipati nitaangaika sana nakuta nawakopa paka voda m pawa niweke mkeka nikiweka nitajipamatumaini kibao kesho napesa yakutosha

Nilijitaidi kwa wiki moja sikubet kabisa nikawaambia watu nimeacha kila mtu alishangaa anaye nijua ila wiki sina furaha kabisa nikaenda siku moja nikaweka mkeka nikala laki 2 nilijiona kama nimekosa pesa nyingi sana nilivyo acha

Nimejenga marafiki wengi wa kubet wakila wanakuja niambia nimekula milion roho itaniuma kwa nini sijabeti
a80ec110c8c0447e13bea349d7374327.jpg
tafuta milion moja muue man muue barselona muue madrid muue psg waue woteee wakubwa alfu weka milion matokeo yake yatakufanya uuchukie mchezo
 
Wana wivu hao achana nao mm Nina mwaka wa 2 tank yangu najaza full kwa pesa ya mzungu.na tena nimefurahi nimeona Princess wanafungua brach tabata ntakuwa natoka na tauro
Hahahahahaha, we jamaa mi nipo kimanga sema natembelea mitaa ya mawenzi sana hapo panapo meridian kuchukuwa gawio kwa mzungu!
 
Hahahahahaha, we jamaa mi nipo kimanga sema natembelea mitaa ya mawenzi sana hapo panapo meridian kuchukuwa gawio kwa mzungu!
Mkuu itabidi unielekeze vizuri hiyo live betting hasa kwa meridian coz zile tarakimu nyingi nyingi huwa zinanisumbua sana....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom