Nifanye nini ili niache kubet?

Nifanye nini ili niache kubet?

Kwenye maisha unapaswa kujua udhaifu wako ili usikuongoze.
Hongera kwa kuutambua udhaifu wako. Jiweke busy na kazi, jiepusha na marafiki wanaobet.
ubaya nilionao watu wangu wakaribu wote nilishawashawishi kubet nao wanabet siyo mchezo nikisema kujiepusha nao sijui nitakuwa mtu gani
 
Usiache kubet kama hujaanzisha mradi mwingine mbadala, kubet ni moja ya miradi mizuri sana hapa kwetu Tanzania, unaweza kutake risk ukawa unabet timu tatu tu kwa week, let say Real Madrid, Barcelona na Beyern unaweka mzigo wa milioni moja kila week, unaingiza mpunga mrefu sana kwa week tofauti na mtu aliyeajiriwa, hizo timu ni nadra sana kukuchania mkeka.
Kweli ata wiki hii zote zimeshinda ungeka ata milioni tatu ungekuta leo unapesa nzuri sana
 
yaani hapo kama ni mwanamke inamaana aliguswa kwenye G-spot
Alafu team iliyo niulia ni barcelona alikuwa anacheza na atl nikampa cap akashinda 2:1 sikuamini paka leo hapo nilikuwa na wapambe shazi mbira ulivyokwisha kila mtu alikula kona yake
 
Kweli ata wiki hii zote zimeshinda ungeka ata milioni tatu ungekuta leo unapesa nzuri sana
Sio ningeweka hiyo ndo shughuli yangu every week ila huwa naweka laki 5 and it pay me, nimefikisha nyumba kwenye linter na sasa nakusanya ya bati, hadi league iishe nitakua nimeezeka nyumba, msimu ujao kama zitakua kwenye form hizo team inshaalah tafanya finishing na kuamia. Anayeponda kubet alaaniwe walah tena. Ila angalizo usibet siku zinapokutana na timu ngumu kama atletico, sevila, dortmond, pia usije kuchanganya na team za england, England league yao haitabiriki kabisa.
 
Kweli mkuu ngoja kesho niweke
 
Mkuu wewe upo kama mimi, yaan Pool table na KuBet vimenipita kushoto kabisa!

Japo ni shabiki wa kutupwa wa Kandanda!
Ukijaribu kubet kama unabahati utasema ayo maneno kwasababu kuna kipindi nikitaka pesa ya simu kali natafua 50 elfu natengeneza laki 4 naenda kununua simu
 
Miaka mitano ijayo hili litakua janga la kitaifa....lina athari kubwa sana ila sasa hv haionekani...addiction moja mbaya sana
Mbona hao walioleta kwao iko zaidi ya miaka 50+ but ndio wameendelea au kwao sio addiction?? Though simshauri.mtu ajiingize kwenye haya makitu
 
Sema mwanangu una mpunga.mpk waweka laki 5 kwa mechi zinazochezwa huko ulaya ambako.probablity no 0.000010 kushinda.
1.Ukibeti weka kiasi.ambacho uko radhi kukipoteza. Kama unavyohonga pesa kwa mwanamke na haikuumi ndio hiko hiko unachotakiwa kubeti. Usibeti hela ambayo unaumia ukiliwa. Thats y mwingine mwenye nidhamu yeye hela.nyingi akiweka ni 500/
2.Do it for fun! Usitafute utajiri kwenye kamari. Utalia!!! Wenye utajiri ni hao wenye majumba ya kamari.
3.In JK voice" ukitaka kula sharti nawe Uliwe".
 
Mbona hao walioleta kwao iko zaidi ya miaka 50+ but ndio wameendelea au kwao sio addiction?? Though simshauri.mtu ajiingize kwenye haya makitu
Toka lini africa vikaletwa vitu vy maendeleo.... watu huko wanastruggle kuachana na hii addiction... wanaenda mpk rehab kwaajili ya hii kitu.... mwisho wa yote ni mtu kubaki na madeni na kuuza ama kuua chanzo cha mapato yako.wait n see!!!
 
Sema mwanangu una mpunga.mpk waweka laki 5 kwa mechi zinazochezwa huko ulaya ambako.probablity no 0.000010 kushinda.
1.Ukibeti weka kiasi.ambacho uko radhi kukipoteza. Kama unavyohonga pesa kwa mwanamke na haikuumi ndio hiko hiko unachotakiwa kubeti. Usibeti hela ambayo unaumia ukiliwa. Thats y mwingine mwenye nidhamu yeye hela.nyingi akiweka ni 500/
2.Do it for fun! Usitafute utajiri kwenye kamari. Utalia!!! Wenye utajiri ni hao wenye majumba ya kamari.
3.In JK voice" ukitaka kula sharti nawe Uliwe".
Nikiweka jero nibora nisibet hapo kwa jero ningekula 7000 elfu saba ata mishe mishe naipata mm nataka pesa ambayo siipati kwa uraisi
 
Toka lini africa vikaletwa vitu vy maendeleo.... watu huko wanastruggle kuachana na hii addiction... wanaenda mpk rehab kwaajili ya hii kitu.... mwisho wa yote ni mtu kubaki na madeni na kuuza ama kuua chanzo cha mapato yako.wait n see!!!
Mbona wameleta vingi vya maendeleo mpira dini elimu kubet n.k unataka vingine walioleta vya maendeleo au niishie hapo
 
Jamani nifanye nn ili niweze kuacha kubet kwasababu mm imekuwa ni zaidi ya madawa ya makonda
a80ec110c8c0447e13bea349d7374327.jpg
Jamani nifanye nn ili niweze kuacha kubet kwasababu mm imekuwa ni zaidi ya madawa ya makonda
a80ec110c8c0447e13bea349d7374327.jpg
Huo ni ugonjwa,kama punyeto kuacha ni kazi ndugu yangu ukikosa pesa utabet kwa kitu,simu,baiskeli,gari,nyumba,watoto,mke mwisho unajibetia wewe mwenyewe
 
Mi natamani kubet ila kwenda kwnye vile vibanda ndo siwezi, hv online huwez kubet kwa hapa bongo??
 
Dah! wewe unataka kuacha me nataka nijifunze kubeti hasa mechi za Arsenal maana huwa sipati taabu kubashiri mechi za Arsenal.
Ni nzuri mkuu jifunze kama una bahati unatajirika kwa muda mfupi tu ila kama una bahati hali yako ni mbaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom