Nifanye nini ili niache kubet?

Nifanye nini ili niache kubet?

Mm mkristo sijaona popote ilipo katazwa kwenye biblia
Whoever loves money never has enough; whoever loves wealth is never satisfied with their income. This too is meaningless Ecclesiastes 5:10

Then he said to them, “Watch out! Be on your guard against all kinds of greed; life does not consist in an abundance of possessions.”
Luke 12:15

For the love of money is a root of all kinds of evil. Some people, eager for money, have wandered from the faith and pierced themselves with many griefs.
Timothy 6:10

BIBLIA INASEMA NINI?

Biblia haisemi moja kwa moja kuhusu kucheza kamari. Hata hivyo, inatoa kanuni mbalimbali zinazoweza kutusaidia kujua maoni ya Mungu kuhusu kucheza kamari.

Kucheza kamari kunahusisha kushinda pesa za watu wengine, jambo linalopingana na onyo la Biblia linalosema, “mjilinde na kila namna ya tamaa.” (Luka 12:15) Pupa huchochea watu kucheza kamari. Taasisi za michezo hutangaza kuhusu mashindano makubwa ya bahati nasibu ijapokuwa hawapendi watu wajishindie pesa hizo, lakini wanafanya hivyo wakijua kwamba watu huchochewa na ndoto za kuwa matajiri na hivyo kutoa pesa nyingi katika majumba ya kucheza kamari. Kamari huchochea watu kuwa na tamaa ya kutaka kupata pesa haraka badala ya kuwasaidia kujilinda na pupa.

Kucheza kamari kunahusisha roho hii ya asili ya ubinafsi: kushinda pesa walizopoteza wengine. Hata hivyo Biblia inatia moyo mtu “aendelee kutafuta, si faida yake mwenyewe, bali ile ya yule mtu mwingine.” (1 Wakorintho 10:24) Sheria moja kati ya zile Sheria Kumi inasema: “Usitamani . . . chochote cha mwenzako.” (Kutoka 20:17) Mcheza-kamari anapoazimia kushinda pesa, kihalisi anatumaini kwamba wengine watapoteza pesa zao ili yeye afaidike.

Biblia inatoa onyo kuhusu wale wanaotegemea bahati kama chanzo kikuu cha mafanikio. Katika Israeli la kale, kulikuwa na watu waliokosa imani kumuelekea Mungu na kuanza “kuandaa meza kwa ajili ya mungu wa Bahati Njema.” Je, ujitoaji wao kuelekea “mungu wa Bahati Njema” ulikubaliwa na Mungu? Hapana, kwa kuwa aliwaambia hivi: “Nanyi mliendelea kufanya yaliyokuwa mabaya machoni pangu, mlichagua jambo ambalo halikunipendeza.”—Isaya 65:11, 12.

Ni kweli kwamba katika nchi fulani, pesa zinapatikana katika michezo ya kamari iliyokubaliwa kisheria hutumika kulipia elimu, kuendeleza uchumi, na shughuli nyingine za kijamii. Lakini matumizi ya pesa hizo hayabadili njia ya upatikanaji wake, yaani, kupitia shughuli zinazochochea pupa na ubinafsi na zinazoendeleza wazo la kupata pesa kwa haraka.

Mcheza-kamari anawezaje kuathiriwa kwa kucheza kamari?
BIBLIA INASEMA NINI?
Biblia inaonya kwamba “wale ambao wameazimia kuwa matajiri huanguka katika jaribu na mtego na tamaa nyingi za kijinga na zenye kudhuru, ambazo hutumbukiza watu katika maangamizi na uharibifu.” (1 Timotheo 6:9) Watu hucheza kamari kwa sababu ya pupa, na “pupa” ni mbaya sana hivi kwamba Biblia inaitaja kuwa miongoni mwa tabia tunazopaswa kuepuka kabisa.—Waefeso 5:3.

Kwa kuwa hukazia hasa kutajirika haraka, uchezaji-kamari humchochea mtu kupenda pesa jambo linalotajwa na Biblia kuwa “chanzo cha mambo mabaya ya namna zote.” Tamaa ya pesa inaweza kwa urahisi kuwa jambo muhimu zaidi maishani mwa mtu na kumfanya awe na mahangaiko mengi na kuharibu uhusiano wake na Mungu. Biblia inawataja kwa njia ya mfano wale walionaswa na upendo wa pesa kuwa “wamejichoma wenyewe kila mahali kwa maumivu mengi.”—1 Timotheo 6:10.

Pupa huwafanya watu wasiridhike na hali yao ya uchumi na hivyo kukosa furaha. “Anayependa fedha hatatosheka na fedha, wala anayependa mali hatatosheka na mapato.”—Mhubiri 5:10.

Mamilioni ya watu walioshawishika kucheza kamari wamekuwa waraibu wa mchezo huo. Makadirio yanaonyesha kwamba tatizo hilo limeenea sana, huku kukiwa na mamilioni ya waraibu wa mchezo huo nchini Marekani pekee.

Methali moja inasema hivi: “Urithi hupatikana kwa pupa mwanzoni, lakini wakati wake ujao hautabarikiwa.” (Methali 20:21) Kucheza kamari kumefanya waraibu wa mchezo huo kuingia katika madeni au kufilisika, kupoteza kazi, marafiki na kuharibu ndoa. Kutumia kanuni za Biblia kunaweza kumsaidia mtu kuepuka madhara ya kucheza kamari na kumfanya awe na furaha maishani.

“Wale ambao wameazimia kuwa matajiri huanguka katika jaribu na mtego na tamaa nyingi za kijinga na zenye kudhuru, ambazo hutumbukiza watu katika maangamizi na uharibifu.”1 Timotheo 6:9.

Gambling can turn you into a completely different person.
 
Mkuu nimesoma hayo maandiko mbona akuna liliokataza kamari mm naona ww umeweka utashi wako tu
dc330e7dde985e923fa56afb0e3355f1.jpg
nataka kama quran ilivyosema kabisa hapo hivi ulivyoleta ww ni hadithi
 
Ktk Michezo ambayo imenipitia kushoto ni huu Na Pool Table
 
Mkuu nimesoma hayo maandiko mbona akuna liliokataza kamari mm naona ww umeweka utashi wako tu
dc330e7dde985e923fa56afb0e3355f1.jpg
nataka kama quran ilivyosema kabisa hapo hivi ulivyoleta ww ni hadithi
Mkuu wewe umesema ni mkristo ndio maana nikakuletea kwa biblea inavyosema. mimi ni mwislam lakini nimetuma kwa mujibu wa imani yako.
 
Mkuu kama ww ni mwislam nikutazarishe tu biblia aisomwi kama gazeti mm naijua biblia na hayo maandiko yanamanisha vitu vingine kabisa ndiyo maana nimekataa ayakatazi kamari nimekuweke quran ili unipe kifungu kinachokataa moja kwa moja kama ilivyo andika quran kuwa ufupi tu biblia akuna sehemu yenye neno kamari
 
Swali: "Biblia inasema nini juu ya kamari? Je, kamari ni dhambi?"

Jibu: Kamari ni “pesa zinazohatarishwa katika jaribio la kuzizidisha kwa njia isiyo ya kawaida.” Bibilia haipingi moja kwa moja kamari,bahati nasibu na kadhalika. Biblia hutuonya tujiepushe na tamaa ya pesa. (Timotheo wa kwanza 6:10; waebrania 13;5). Maandiko pia husisitiza tuepukane na nia ya kutaka kujitajirisha haraka haraka (Methali 13:11; 23:5; Mhubiri 5:10). Kamari imekithiri katika msingi wa tamaa ya pesa na hutia watu katika majaribu ya kutaka kuwa tajiri upesi.

Kamari ina ubaya gani? Inapofanywa mara kwa mara ina asili ya matumizi mabaya ya pesa si lazima yenyewe iwe ni dhambi. Ijapokuwa kuna mambo mengi ambayo yanaweza kuleta matumizi mabaya ya pesa kama kununua chakula cha ghali bila sababu ya maana au kununua vitu visivyofaa lakini isiwe sababu ya kuhalalisha kamari. Pesa zisifujwe. Pesa ni zihifadhiwe kwa matumizi mazuri ya baadaye lakini sio kamari.

Kamari katika Biblia: ijapokuwa biblia haitaji moja kwa moja michezo ya kamari, huzungumzia michezo Fulani ya bahati nasibu kama kupiga kura katika Mambo ya Walawi kuchagua baina ya mbuzi wa sadaka na mbuzi wa lawama. Yoshua alipigia kura ugawaji wa ardhi kwa makabila mbali mbali. Nehemia alipiga kura kutambua nani atakayeishi ndani ya nyua za Yerusalemu na nani asiishi ndani yake. Mitume walipiga kura kuchagua atakaye chukua nafasi ya Yuda. Methali 16:33 inasema, “ kura hupigwa mapajani lakini uamuzi hutoka kwa Bwana.” Hakun mahali katika Biblia kubahatisha kumetumika kwa starehe ama kuendelezwa kama jambo halali la wafuasi wa Mungu.

Kasino na bahati nasibu: Kasino hutumia mbinu nyingi kuhamasisha wacheza kamari kuendelea kupoteza pesa nyingi zaidi. wakati mwingine hutoa vileo kwa bei nafuu au hata bure kinachorahisisha kulewa ili mtu asiweze kufanya uamuzi tena wa busara kwa kuwa amelewa sana. Kila kitu ndani ya kasino kimeundwa kuchukua pesa za watu kwa wingi bila kurudishia chochote mwenye kutoa pesa hizo. Michezo ya bahati nasibu husingiziwa kuwa ni ya kusaidia kuchangia elimu au huduma za kijamii. Lakini wenye kucheza michezo hii ni wale wenye pesa za kununulia kadi hizi za bahati nasibu. Tamaa ya kutajirika haraka huwashika wenye kushiriki hivyo basi wanapokosa kufanikiwa huwabakisha katika hali mbaya zaidi ya ile ya awali. Hapa ndipo maisha ya wengi husambaratika.

Kwa nini mapokeo kutoka kwa bahati nasibu hayamridhishi Mungu: wengi husema wanacheza michezo hiyo ili watoe pesa hizo kwa kanisa au kufanyia jambo Fulani zuri. Hili ni jambo zuri. Lakini uchunguzi umedhihirisha mara nyingi si kwa ajili ya mambo haya. Mungu hahitaji pesa zetu kuendeleza kazi zake duniani. Methali 13:11 inasema, “ pesa mbaya hutoroka zenyewe, lakini yule akusanyaye pesa chache chache huzifanya kukua na kuwa nyingi.” Mungu ni muweza na atagharimia mahitaji ya kanisa kwa njia za halali. Je, Mungu angeheshimiwa kwa kupokea mchango wa pesa zilitokana na biashara ya madawa ya kulevya au zilizoibwa benki? Hata hivyo Mungu hahitaji pesa zilizoibwa kwa maskini katika jaribio la kutaka kuwa matajiri haraka.

Timotheo wa kwanza 6:10 inatuambia, “maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na imani, na kujichoma kwa maumivu mengi.” Waebrania 13:5 inasema, “ msiwe na tabia ya kupenda fedha mwe radhi na vitu mlivyo navyo;kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, sitakupungukia kabisa, wala sitakuacha kabisa.” Mathayo 6:24 inasema, “ hakuna awezaye kuwatumikia mabwana wawili. Kwa maana atamchukia huyu na kumpenda huyu; ama atashikamana na huyu na kumdharau huyu.hmwezi kumtumikia Mungu na mali.”
 
Mkuu yani nisipo lala na mkeka ata usingizi sipati nitaangaika sana nakuta nawakopa paka voda m pawa niweke mkeka nikiweka nitajipamatumaini kibao kesho napesa yakutosha

Mm mkristo sijaona popote ilipo katazwa kwenye biblia
Kubeti ni kubashiri, kubashiri na kupiga ramli ni chukizo kwa Mungu. Kasome kitabu kizima cha kumbukumbu la torati.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom