Neema j swai
Senior Member
- Mar 27, 2017
- 177
- 103
Endelea tu kubet cna cha kukushaur maana mwenzang nmemshaur ache imeshndkana sahv anafanya siri nikimpga sach mifukon nakuta mikeka hata 50 ukimkataza anapoa kama mgonjwa anakosa Aman furaha yake iko kweny kubet xo na ww endelea tu ipo cku utachoka utaacha