Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,642
- 4,476
- Thread starter
- #61
Kweli mkuu kwasababu mm sinywi pombe siendi klabu nachopenda ni kubet na watoto wazuri basiWe bet tu, ili mradi unapata ela... kila mtu anacho kitu ambacho akikifanya humpa furaha therefore hiyo ni namna yako ya kupata furaha. Kwa wenzetu wazungu ambapo bet zimetokea hiyo ni sehemu ya maisha yao na wanabet kama ww unavyoenda club kujipa furaha. akitoka job anapitia mikeka yake mitatu anaenda kwenye mapumziko na hawaweki ela ndogo.
we jipe furaha bana maisha yasogee ukiyachukulia serious yatakuwa magumu balaa.