Nifanye nini ili niache kubet?

Nifanye nini ili niache kubet?

Ukiwa na mkopo au Gari bovu hutapata hela za kuchezea kama kubeti na kamali nyingine za kijinga.
 
Usiache ku-bet kama inakulipa, siku ikikuacha sifuri utaacha mwenyewe.
 
Kusitishwa itakuwa ngumu kwasababu ata ikisitishwa tanzania mm uwa nabet kwa makampuni ya ulaya naweka dola na pia inalipa kodi kubwa sana
Du!!ila kalibu kwetu nikuonyeshe waathilika wa bettin huenda kidogo itakusaidia...
 
Sasa mkuu nawewe utaishije mjini endapo huu mchezo ukipigwa kufuri
aahh!!tutatafuta utafutaji mwingine mi kinachonikela kunamiji2 naiona kabisa ikishachukuwa mshala ye mbio kwenye kubet.ninae mmoja apa kashaludisha familia kwa mamamkwe analala geto yani maisha yanamsumbua nikikwambia mshala wake huezi amini na haelezeki uyo ukimshauli sana kuusu kupunguza kubet anakukimbia anaenda bet kwengine...
 
HUU MCHEZO NI MGUMU SANA KWA SABABU KILA SIKU UNAKUWA UNAJIPAA MATUMAINI YA KUSHINDA NA UNAJIKUTA UNAKOSEA MECHI MOJA TUU SASA NA HAPA NDIPO UGONJWA AU USUGU UNAPOANZIA YAANI UNAKUA NA MATUMAINI YA KUWA ONE DAY YES KWAHIYO KILA SIKU UTAJIKUTA UNALIWA 100 AU 10,000 NA NK
 
Kwenye maisha unapaswa kujua udhaifu wako ili usikuongoze.
Hongera kwa kuutambua udhaifu wako. Jiweke busy na kazi, jiepusha na marafiki wanaobet.
 
Usiache kubet kama hujaanzisha mradi mwingine mbadala, kubet ni moja ya miradi mizuri sana hapa kwetu Tanzania, unaweza kutake risk ukawa unabet timu tatu tu kwa week, let say Real Madrid, Barcelona na Beyern unaweka mzigo wa milioni moja kila week, unaingiza mpunga mrefu sana kwa week tofauti na mtu aliyeajiriwa, hizo timu ni nadra sana kukuchania mkeka.
 
Jamani nifanye nn ili niweze kuacha kubet kwasababu mm imekuwa ni zaidi ya madawa ya makonda
a80ec110c8c0447e13bea349d7374327.jpg
dah... nimekumbuka mbali sana hii kitu (betting) ikikaa akilini ni mbayaa sana maana nakumbuka mwaka hule 2012 niliona kama nabanwa sana kubet kwa mawakala nikaenda ofisini kwao nikajisajili na kuchukua mashine kabisa its was premier bet hile nikawa nakaa nalo home yaani mimi nabett mwenyewe na washkaji wachache tu... ilikuwa hatari chuma ulete ninalo ndani ..kilichokuja kunitokea sita sahau nilifilisika vibaya walikuja kufuata mashine yao maana madeni yalikuwa yamezidi na ulipaji zero...
niliama kwa muda na kwenda mkoa mwingine kuanzia hapo nilichukia betting na michezo ya aina hiyo ingawa huwa sishauri mtu/watu waache betting ya kikushinda utaliacha tu bila kupenda ila si nzuri....
 
kweli binadamu tunatofautana sana.yani mi shughuli zangu ni kubrtisha kwa miaka mingi sasa ila ni kawaida kuto toa mkeka hata mmoja ndani ya mwezi na nikiangali watu wanao nizunguka mazala waliyoyapata kwa kuendekeza kubet ni wengi mno..kipato changu napata kupitia kubetisha ila ikitoa huu mchezo ukasitishwa nitashukulu sana kwakuwa tutakua tumeokoa sehemu kubwa ya kizazi chetu.....
hujui kuwa serikali inakusanya kiasi kikubwa sana cha mapato kupitia huu uwekezaji maan sio beting tena ni investment so mwenye akili haambiwi tazama ni kujiuliza tu mara moja ya pili unachukua hatua kma huu uwekezaji unakuletea effects kubwa kiac gani nikuacha tu
 
mi nadhani hapo ni kuji control tu na stake unazoweka jaribu kuweka pesa ambayo hata ukiliwa hautaumia maan utakuwa ushajipanga kisaikolojia maan huu ni uwekezaji na sio beting so be a risk taker kwa kuinvest kiasi kidog cha pesa kama ulikuwa unawek buku10 per wiki weka hata buku5 hiyo buku5 ukila hata 40 faida 35 inatosha sio lazim ule mamilion
 
HUU MCHEZO NI MGUMU SANA KWA SABABU KILA SIKU UNAKUWA UNAJIPAA MATUMAINI YA KUSHINDA NA UNAJIKUTA UNAKOSEA MECHI MOJA TUU SASA NA HAPA NDIPO UGONJWA AU USUGU UNAPOANZIA YAANI UNAKUA NA MATUMAINI YA KUWA ONE DAY YES KWAHIYO KILA SIKU UTAJIKUTA UNALIWA 100 AU 10,000 NA NK

kukosa team moja ndiyo hatari ni bora ukose tano ukikosa moja kila siku utaona kama unakaribia kumla kwaiyo kila siku utakuwa mtumwa wakwenda kipindi naanza kubeti nilikosa milion sita team moja ndiyo ilinifanya niwe nabet kila siku
 
yaani hapo kama ni mwanamke inamaana aliguswa kwenye G-spot
 
aahh!!tutatafuta utafutaji mwingine mi kinachonikela kunamiji2 naiona kabisa ikishachukuwa mshala ye mbio kwenye kubet.ninae mmoja apa kashaludisha familia kwa mamamkwe analala geto yani maisha yanamsumbua nikikwambia mshala wake huezi amini na haelezeki uyo ukimshauli sana kuusu kupunguza kubet anakukimbia anaenda bet kwengine...
Huyo ndiyo mgonjwa afadhali na mm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom