edwin4
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 287
- 216
Ndugu zangu wajuzi wa sheria, naomba mnisaidie kujua mambo haya;
1.Hivi mtu ukiwa mwalimu tu, ni lazima uwe mwanachama wa CWT?
2.Sija wai kukubali kujaza Form no.6, na wananilazimisha kujaza na wanadai nisipo jaza hawatanitambua kama mwanachama. Sasa kama nisipo jaza hiyo form sitambuliki, kwann na katwa mshara wangu kuwachangia.
3. Nifanye nini ili mshahara wangu usikatwe kuwachangia hawa CWT?
Naomba kuwasilisha.