MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,159
- 5,399
Mpaka hapo kwa kheri ikiwa hujui umhimu wa vyama vya wafanyakazi. Ina maana kushindwa kufanikisha malengo leo kunafuta malengo yote ambAyo vyama vimepata .Walimu na wafanyakazi wote wanapata maslahi wayapatayo siyo Kwa nguvu ya vyama Ila kwa Hisani ya Serikali.Serikali ikiamua haitoi Basi haitoi na hamuifanyi chochote.Hivi vyama havina maana yeyote labda mpaka Utawala wa Magufuli upite huenda vitaanza tena kubwekabweka kidogo.
Ni ujinga kuwa member wa chama cha wafanyakazi,yaani unakatwa tu hela yako Bila sababu
Uko nyuma sana na huwezi kuishi bila jumuiya kwa karne hizi.Upende usitake utakatwa tu ni sheria ya dunia.