Nifanye nini ili niweze kunywa pombee? Nimeshindwa kabisa!

kinjekitile70

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
1,072
1,421
Wasalaaam wakuu

Naombeni mnisaidie nifanye nini ili niweze kunywa pombee maana nimeshindwa kabisa
yaani hata zile MALTA zenye harufu ya pombe huwaa sitaki hata kuziona

Naweza kuwatoa watu outing lakini mimi nikaishia kunywa soda au maji
mpaka wanahisigi naishi kwa mashart ya BIBI KHADIJA

Naombeni kujua kama hili ni tatizo na nifanyaje ili niweze kunywa kama kina MASELE wa mizengwe

Naomba kuwasilisha, matusi hayaruhusiwi maana ni wakati wa KUTUBU
 
Weeee ni mjinga wa mwisho kabisa wa dunia hiii..

Hiv pombe ni ya kulilia ujifunze unywe, kusema ujifunze njia za kutafuta pesa zaidi na kumtafuta MUNGU ww unataka umtafute shetani
Very stupid
naskiaaa heaven hakuna pombe so nataka kunywa hukuhuku
 
Siku ukibahatika kunywa usisahau kutuletea mrejesho kwa kitakachokutokea chooni.
 
Weeee ni mjinga wa mwisho kabisa wa dunia hiii..

Hiv pombe ni ya kulilia ujifunze unywe, kusema ujifunze njia za kutafuta pesa zaidi na kumtafuta MUNGU ww unataka umtafute shetani
Very stupid
Ameweka angalizo; matusi hayaruhusiwi
 
Hii thread iite part 1 maana ukifanikiwa kunywa pombe ikikushinda utaleta thread part 2 kuomba ushauri wa namna ya kuacha pombe.

Kwenye part 2 utaeleza matatizo yako kibao:
1. Ndoa yangu iko matatizoni
2. Watoto wanafukuzwa michango shuleni
3.Kipato changu hakinitoshelezi kabisa
4. ............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom