NIFANYE NINI ILI CWT WASIENDELEE KUNIKATA?

ilu

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
1,006
2,000
Why ??,vyama vya wafanyakaz n ulinzi ndugu,mfano kuna Chama cha wafanyakaz kinaitwa TUICO hiki Chama ni special aisee hawana Shida hawa
Vyama hv vinaharibika na kusahau misingi yao baada ya kuwa pesa nyng hvyo viongozi wanaa neemesha mtumbo yao. Hv ww unaona tabu za walimu unaweza sema CWT inawasaidia nn. Kwanza nahisi imeshapoteza nguvu ya majadiliano kwa serikali
 
MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
4,545
2,000
Unatakiwa kuandika barua(notice) ya siku 30 kwa mwajii wako kumjulisha kuwa asitishe kukukata michango ya trade unioni kuanzia tarehe fulani ambayo utaitaja, nakala ta barua hiyo utaipeleka kwa cwt, hapo itakuwa ndy mwisho wa kukatwa
Usimdanganye, yeye lazima awe member wa chama cha wafanyakazi kinachofanana na taaluma yake.
Na atakapojitoa aainishe chama anakojiunga kwa kuwa TUCTA hukata asilimia 1 ya makato hayo ya vyama vyote na hilo ni takwa la kisheria duniani chini ya ILO.
Kuna mambo watu wanakesha kuhangaika nayo hadi wanaacha miradi yao inadorora kisa vyama vya wafanyakazi.
Nilichogundua wapinzani wakuu wa cwt wengi waligombea vyeo wakashindwa.
Wewe una miradi yako,una mshahara wako haufyekwi wote ukae unapoteza muda kwa 2%.
Pia watu tumieni akili.Hivi toka mtu umeajiriwa ukaambiwa mshahara wako bado kuna nyongeza na marupurupu yameendelea kuongezeka kila mwaka bila ya wewe unadhani anayesimamia yote hayo ni nani?.
Kuna chama cha waajiri Tanzania hata duniani pia wao hujadili namna ya kumkandamiza mwajiriwa sasa leo watu mnapanga namna ya kuua vyama vyenu.
Huenda kweli cwt ina mapungufu lakini pia cwt ni nzuri kuliko vyama vingi vya wafanyakazi shida ni uwingi wa member wake maana mnapata tshirt bure idara nyingine ni kununua,mnapata return ya pesa yenu kila mwezi mahali pa kazi wakati idara nyingine hicho kitu hakuna,mmewekeza majengo ambayo kama mtapata uwekezaji mzuri mbeleni ni balaa wakati vyama vingine wanakusanya pesa hata ofisi makao makuu ni shida achilia mbali mikoani na wilayani,mmeajiri watendaji kila wilaya ,mkoa hadi taifa na wana walinzi,magari,stationery, wahasibu,makarani,usafi na wanalipwa mshahara ambao ni sehemu ya makato ya pesa yenu bado hamuoni.
Walimu mna ujinga mkubwa wa kutoelewa.Kama hamjui kwa sasa idara zote Tanzania tunafaidi matunda ya benki yenu kwa sababu kuu zifuatazo.
1.Walimu mnazifaidisha benki zote kwa 65% kwa kuwa ndiyo wakopaji wakuu.Bila walimu nmb ingekufa kabisaa.Mlipopata benki yenu mkashusha riba hadi 17 benki zote tz zimelazimika kushusha riba hadi 17 toka 26 huko na tusio walimu nasi tumefaidika kupitia ninyi.
Kwa kushusha riba tu kwa mkopo uleule nimeenda kuurenew nimepata ongezeko la milioni 7 bila kubadili makato Mungu akupe nini ila,najua bila benki ya cwt isingetokea hii.

2.adui wa mwalimu ni mwalimu mwenyewe, wengi wenu walimu hamjui dhamira ya chama hivyo hakuna mnachoweza kupongeza kila kitu mtakiponda tu hata kiwe chema.Viongozi wenu wengine wamefukuzwa kazi wakiwatetea ninyi lakini nyie mpo mtaani kuwaponda.Mfano halisi yule msabato mwl . OLOUCH hayupo kazini lakini bila yeye walimu wakuu wasingepata posho ya madaraka laki 250000/= kila mwezi leo hamkitaki chama chenu eti muondolewe makato.
Jifunzeni kubadilika siyo kila unachokifanya utafaidika nacho 100asilimia.Itunzeni cwt ina malengo ambayo yametusaidia watumishi wengi hata tusio cwt.Hiyo benki ikiwa imara itakomesha benki nyingi nchini kama ilivyo sasa.
 
MASEETO

JF-Expert Member
Dec 7, 2013
261
225

Nilidhani wewe ni mwalimu lkn kwa maelexo yako unaonyesha hujui chochote kuhusu taaluma ya ualimu. Mh. Rais mwenyewe kadhtukia makato hao, sasa anayebisha ninani hasa.
 
MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
4,545
2,000
Nilidhani wewe ni mwalimu lkn kwa maelexo yako unaonyesha hujui chochote kuhusu taaluma ya ualimu. Mh. Rais mwenyewe kadhtukia makato hao, sasa anayebisha ninani hasa.
Huo ndiyo uongo kabisa.
Juzi tu aliongelea alipoita vyama vyote vya wafanyakazi,bado waziri mkuu akashindilia kukazia kuhusu cwt na may day ndo funga kazi akatamka wazi kuhusu cwt na hadi chama pinzani cha cwt walipigwa bann kutoonekana kwenye maandamano kabisa.
Nina ushahidi wa clip na kauli zao kabisa sasa usiongelee usichokijua.
Wewe ni mwalimu lakini nahisi hata formation ya cwt huijui hata chembe wala ya vyama vingine.Kama chama chako cwt hukijui je tls ,tlgwa,tughe ndo utavijua wewe.
Vijue vyama vingine kwanza ndo utajua kama cwt ni mbovu au ni nzuri ama ni chama kizuri kati ya vibovu vingi.
 
MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
4,545
2,000
Wewe ni Katibu au Mwenyekiti Wa cwt wilaya gani?
Mimi sina cheo chochote ktk vyama vya wafanyakazi mimi ni mtu tu ninayeelewa mambo haya kwa mapana.Sijawahi hata kuota kuwa na cheo kikubwa hivyo.
Watumishi wengi wa umma mnapoteza muda mwingi kuwaza mambo ambayo faida yake ktk uchumi wenu ni near to zero.
Ni shida sana.
 
Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
14,949
2,000
Mbona watu kibao wanajitoa,unaandika Barua Kwa Mkurugenzi wako kupitia Kwa Afisa Elimu,mwezi mmoja tu wameshakutoa
 
Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
14,949
2,000
Sheria inaruhusu wakukate upende usitake kwa kuwa wao wana member zaidi ya 50% hivyo wote waliosalia lazima wakatwe.
Ni lazima kila mfanyakazi awe member wa chama pia kama huridhiki unganeni mfikie hata 25 muunde chama chenu sheria inaruhusu tu hakuna shida.
Usipende kupoteza muda wako kwa mambo yasiyo na msingi angalia mipango yako ya maisha.
Waziri mkuu majaliwa ni member wa cwt na ndo imemfikisha pale alipo so wapo wengi na ukitaka uiue huwezi.
Juzi kwenye sherehe za mei mosi chakamwata wapinzani wa cwt walipigwa marufuku kuonekana kwenye maandamano na ikawa hivyo sasa imagine wewe unayeigomea cwt.
Tulia ujitazame upya.
Mkuu watu kibao wanajitoa tena kiurahisi tu aiseee Wala mambo hayapo Complicated kihivyo
 
Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
14,949
2,000
Anajitoa vp wkt yeye si mwanachama? Hajawahi jaza fomu ya uanachama CWT kwahyo kumkata si sawa. Aandike barua ya kipinga kukatwa kwa mkurugenzi copy kwa katibu mkuu CWT. Chama chenyewe cha wanyang'anyi tuu wanao neemeka ni viongozi period.
Aandike barua ya kusitisha makato,siyo kujitoa
 
Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
14,949
2,000
Sikiliza mkubwa hao utaratibu wao ni unakuwa automatic member wa CWT ilimrad tu kama ni mwalimu Na umekuwa employed Na serikali no way to run mkuu,,, nisikikilize kama hajajaza form wenda tu mistake imefanyika but hao badaye wanaletewa form wajaze baada tu kuingizwa kwenye makato hayo ya kichama,,,, cha msng awasiliane kwanza Na katibu wa CWT wa sehem aliyopo watampa mwongozo

Usiangalie sana sheria mkubwa
CWT wametumia hako kamtego kuwakata watu,ila watu kibao wanajitoa,siyo lazima uwe member wa CWT
 
Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
14,949
2,000
Uko right lakin ndo tumeshajijengea wenyew hvyo Na ndo maana waliokuta utaratibu wanaufuata hivyohvyo
Mm naona labda Kwa kumsadia afanye hivyo ulivyo mwelekez au aende Kwa katibu wa mkoa wa sehem aliyopo wa CWT I hope atasaidiwa
Akienda Ofisi za CWT asitegemeee kusaidiwa.Cha msingi amuandikie Barua Mkurugenzi wake akimpa notice ya siku 30 kusitisha makato yake.Kuna vifungu vya kuquote ili kuipa uzito barua navyo vipo kwenye Sheria ya kazi na mahusiano kazini ya mwaka 2004
 
MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
4,545
2,000
Mkuu watu kibao wanajitoa tena kiurahisi tu aiseee Wala mambo hayapo Complicated kihivyo
Nadhani kwanza hawaujui ukweli kamili kwa sasa maana ofisi za hicho chama zipo uyole nilipo mimi na conflict kubwa ya mwenyekiti wa chama ambapo kaweka mhasibu ni mke wake na members wanataka kumtoa jambo ambalo hadi sasa limepelekea kuandikiana barua wao kwa wao wengi hawajui.
Mimi nina uhakika na ninachokisema na hata sasa hata kama cwt ina matatizo lakini yaliyomo chakamwata siyo matatizo ni mikosi hasaa.
Wewe hukijui hiki chama katu na yaliyomo ndani yake.Unawezaje kuwa rais na mkeo awe makamu wa rais na mwanao awe mhasibu.Fikiri mara mbili mimi naandika kwa maslahi ya walimu iwasaidie kuangalia kama haya nisemayo ni kweli.
Walimu wanaumizwa kona nyingi.
 
Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
14,949
2,000
Usimdanganye, yeye lazima awe member wa chama cha wafanyakazi kinachofanana na taaluma yake.
Na atakapojitoa aainishe chama anakojiunga kwa kuwa TUCTA hukata asilimia 1 ya makato hayo ya vyama vyote na hilo ni takwa la kisheria duniani chini ya ILO.
Kuna mambo watu wanakesha kuhangaika nayo hadi wanaacha miradi yao inadorora kisa vyama vya wafanyakazi.
Nilichogundua wapinzani wakuu wa cwt wengi waligombea vyeo wakashindwa.
Wewe una miradi yako,una mshahara wako haufyekwi wote ukae unapoteza muda kwa 2%.
Pia watu tumieni akili.Hivi toka mtu umeajiriwa ukaambiwa mshahara wako bado kuna nyongeza na marupurupu yameendelea kuongezeka kila mwaka bila ya wewe unadhani anayesimamia yote hayo ni nani?.
Kuna chama cha waajiri Tanzania hata duniani pia wao hujadili namna ya kumkandamiza mwajiriwa sasa leo watu mnapanga namna ya kuua vyama vyenu.
Huenda kweli cwt ina mapungufu lakini pia cwt ni nzuri kuliko vyama vingi vya wafanyakazi shida ni uwingi wa member wake maana mnapata tshirt bure idara nyingine ni kununua,mnapata return ya pesa yenu kila mwezi mahali pa kazi wakati idara nyingine hicho kitu hakuna,mmewekeza majengo ambayo kama mtapata uwekezaji mzuri mbeleni ni balaa wakati vyama vingine wanakusanya pesa hata ofisi makao makuu ni shida achilia mbali mikoani na wilayani,mmeajiri watendaji kila wilaya ,mkoa hadi taifa na wana walinzi,magari,stationery, wahasibu,makarani,usafi na wanalipwa mshahara ambao ni sehemu ya makato ya pesa yenu bado hamuoni.
Walimu mna ujinga mkubwa wa kutoelewa.Kama hamjui kwa sasa idara zote Tanzania tunafaidi matunda ya benki yenu kwa sababu kuu zifuatazo.
1.Walimu mnazifaidisha benki zote kwa 65% kwa kuwa ndiyo wakopaji wakuu.Bila walimu nmb ingekufa kabisaa.Mlipopata benki yenu mkashusha riba hadi 17 benki zote tz zimelazimika kushusha riba hadi 17 toka 26 huko na tusio walimu nasi tumefaidika kupitia ninyi.
Kwa kushusha riba tu kwa mkopo uleule nimeenda kuurenew nimepata ongezeko la milioni 7 bila kubadili makato Mungu akupe nini ila,najua bila benki ya cwt isingetokea hii.

2.adui wa mwalimu ni mwalimu mwenyewe, wengi wenu walimu hamjui dhamira ya chama hivyo hakuna mnachoweza kupongeza kila kitu mtakiponda tu hata kiwe chema.Viongozi wenu wengine wamefukuzwa kazi wakiwatetea ninyi lakini nyie mpo mtaani kuwaponda.Mfano halisi yule msabato mwl . OLOUCH hayupo kazini lakini bila yeye walimu wakuu wasingepata posho ya madaraka laki 250000/= kila mwezi leo hamkitaki chama chenu eti muondolewe makato.
Jifunzeni kubadilika siyo kila unachokifanya utafaidika nacho 100asilimia.Itunzeni cwt ina malengo ambayo yametusaidia watumishi wengi hata tusio cwt.Hiyo benki ikiwa imara itakomesha benki nyingi nchini kama ilivyo sasa.
Walimu na wafanyakazi wote wanapata maslahi wayapatayo siyo Kwa nguvu ya vyama Ila kwa Hisani ya Serikali.Serikali ikiamua haitoi Basi haitoi na hamuifanyi chochote.Hivi vyama havina maana yeyote labda mpaka Utawala wa Magufuli upite huenda vitaanza tena kubwekabweka kidogo.
Ni ujinga kuwa member wa chama cha wafanyakazi,yaani unakatwa tu hela yako Bila sababu
 
Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
14,949
2,000
Ndugu zangu wajuzi wa sheria, naomba mnisaidie kujua mambo haya;
1.Hivi mtu ukiwa mwalimu tu, ni lazima uwe mwanachama wa CWT?
2.Sija wai kukubali kujaza Form no.6, na wananilazimisha kujaza na wanadai nisipo jaza hawatanitambua kama mwanachama. Sasa kama nisipo jaza hiyo form sitambuliki, kwann na katwa mshara wangu kuwachangia.
3. Nifanye nini ili mshahara wangu usikatwe kuwachangia hawa CWT?
Naomba kuwasilisha.
Nikiipata format ya barua nitakutumia
 
Top Bottom