Nifanye Nini ili anipende??

Mpe ugali wa kutosha kila siku na uache kumlipia ada badala yake umlipie ndugu yako.

Atafurahi sana.
 
he pole sana hayo yanamfika kila mtu japo s wote ,, :A S cry: yaan watu wengi wetu tunahsi mapenzi n kumpa unaempenda ili awe more adicted to you ,kitu ambacho utajiuza na wewe, kama hakupendi ata kuwa na msimamo wake habadili,, wala hajui kama wewe unaumia ,sasa wewe stop apo sasa ulichotoa ushatoa ,kama anakupenda ata kuja basi kujipa more stress ,,huo ndio ushauri wangu,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom