Nifanyaje kumzuia mtoto anayenyonya kidole?

Nifanyaje kumzuia mtoto anayenyonya kidole?

Habari wadau,

Mwanangu mwenye miaka minne ana tabia ya kunyonya kidole, nimejaribu kumweka pilipili na baadae kumfunga bandage lakini hajaacha kutumia.

Niliwahi sikia madhara ya kunyonya kidole ni pamoja na meno kutoka nje.

Naomba kwa anayejua jinsi ya kumzuia anisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiizuie asili kufanya kazi.. Hanyonyi kwa kupenda.. Ni automatic action.. Kuna umri akifika ataacha tuu

Jr[emoji769]
 
Hajakuwa bado

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Habari wadau,

Mwanangu mwenye miaka minne ana tabia ya kunyonya kidole, nimejaribu kumweka pilipili na baadae kumfunga bandage lakini hajaacha kutumia.

Niliwahi sikia madhara ya kunyonya kidole ni pamoja na meno kutoka nje.

Naomba kwa anayejua jinsi ya kumzuia anisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nikiwa mdogo nimepitia vitu km hv nilishapakwa mpaka pilipil wengine wakanitetea akikua ataacha na kwel nilikuja kuacha kwa utash wangu

Iko hv kwa kipind mtoto ananyonya kidole iyo huwa ni tabia yake natural na icho kidole wala ata sio kitamu yaa ni tabia yke ukisema umpige au umpake pilipili unajisumbua unachpaswa kufanya
Kaa na mtoto mtengenezee mazingira ya kujitambua na kujilewa km anakua inabid awe wa tofaut inabid aje awe na mpenzi aje awe na familia sasa utaongozqje familia uku unanyonya kidole mtengenezee events ata za kutunga kumuonesha madhara ya kunyonyo kidole mwambie utakosa mchumba mpe stress aone kunyonya kidole kuna madhara mabaya sn uko mbelen km vile meno kutoka nje kidole kupinda nk fanya ivo every day ukimkuta anakinyonya tafuta vitu anavyopenda km vile kucheza mpira nk ili apoteze maana akikosa kaz kinachofuata ni kutia dole mdomon

TRUST ME kuna cku akili itacharge atagundua he is wrong na ndio mwanzo wa kuacha utakuwa apo
 
Back
Top Bottom