ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,649
- 2,805
Nakushauri usimpige wala usimtese kumwekea pilipili badala yake muombee na kila ukiwa karibu naye mzuie kwa kumtafutia vitu vya kuchezea ili awe busy naamini ataacha ila jaribu kuuliza wazazi wako inawezekana nawewe ulikuwa ivyo waombe ushauri,kama sio wewe basi mzazi mwenzio atakua alipitia njia hiyo.
NB: kunyonya kidole hakuwezi mfanya mtoto meno kubaki nje badala yake akinyonya kidole kwa miaka kufikia kumi kidole kitakuwa kifupi zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
NB: kunyonya kidole hakuwezi mfanya mtoto meno kubaki nje badala yake akinyonya kidole kwa miaka kufikia kumi kidole kitakuwa kifupi zaidi.
Habari wadau,
Mwanangu mwenye miaka minne ana tabia ya kunyonya kidole, nimejaribu kumweka pilipili na baadae kumfunga bandage lakini hajaacha kutumia.
Niliwahi sikia madhara ya kunyonya kidole ni pamoja na memo kutoka nje.
Naomba kwa anayejua jinsi ya kumzuia anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app