Nifanyaje katika a/c yangu ya fb

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Jamani nina shida katika a/c yangu ya fb kila nikifungua videos zinajiplay na kunimalizia mbs natumia Sim aina ya ZTE kiss 3 max,,,,
 
So kwa hii fb app kuplay automatically ni lazma iwe hivo chief??
 
Mbona kama hiyo kitu wali i disable wenyewe? Hata mimi ilikuwa hivyo kwenye computer yangu bt iliacha yenyewe...
 
Jinsi ya ku disabe ni ktk setting ya fb kuzuia autoplay
 
Ingia Facebook nenda kwenye App settings...
42c2d87cba3830d6c2e382b0311b9f40.jpg


Select

eacc18869c22302268e3b6c85ec9793a.jpg


Utaona autoplay bonyeza settings zifanane na zangu hapo.. Tatizo ndio basi tena..
 
Back
Top Bottom