Nifanyaje ili nisipende sana, naomba ushauri

Kuna vi2 ving umeongea kuhusu tabia za bf wako naona zimefanana na gf wang ila nilichoamua mm kukaa kimya mpk anitafute huku naendelea kutengeneza maisha yang kama sipo nae
 
Kuna vi2 ving umeongea kuhusu tabia za bf wako naona zimefanana na gf wang ila nilichoamua mm kukaa kimya mpk anitafute huku naendelea kutengeneza maisha yang kama sipo nae
Yeah kitu nilichojifunza hapa ni kukaa kimya mpaka anitafute mwenyewe, nitajitahidi kuwa busy nisimuwaze
 
Asante kwa mchango wako nimeshatishia mara kibao ndio anashtuka na kuanza kukutafuta au labda asilimia kubwa wanaume mko hivyo? Kikazi yeye huwa busy sana. Ambacho sitaki ni kuwa kero kwake sasa kila wakati kiroho kinadunda kama sijamsikia

Basi naomba tuwe marafiki ili ulemuda unamkera tuta chat na utafurahi siku itapita mpaka hapo atakapo kukumbuka yeye kutoka moyoni nakuambia lengo nikufaraji na mimi nijifariji
 
Nipo kwenye 30's

Pole mamii. Nakuelewa maana....! Enzi zangu nikitendwa hivyo nilikua nakimbilia ulokole. Ukiamua kuyashinda inawezekana ila uwe jasiri, maneno ya watu yanakatisha tamaa unaweza kujikuta unashinda hili halafu unakuja kuletewa hili.

30's sio muda wa kulia, simamia malengo yako, komaa usihesabu mabaya. Jipe raha uwezavyo. Nashindwa hata niandike vipi unielewe. Yani maisha haya!!! Kiukweli Tumshukuru Mungu kwa yote.
 
Dah thank you my friend I don't regret pouring my issue here God bless u

Yeah hapa kuna kila kitu vya kukuliwaza,hili song na wengine huenda likawafaaa haswaa... "loves comes to those who still hope althogh they have been dissapointed" NOMINOMI"go for someone who makes u smile".

Enjoy ur flavour....
 
Da Pretty,

Asante Da pretty asante kwa kunipa moyo kiukweli leo nimeridhika kuyabwaga haya na kujua kumbe siko peke yangu! Hilo tu ni jibu la kunipa moyo.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli ladies mna akili fupi sio wote ila endeleeni kuwa chombo cha starehe wacha sisi men tujenge ulimwengu ..wadada ovyo kweli ungekuwa makini na bize usinge jizamisha kipuuzi

kwenye halafu hushtuki umri umesogea sana au unajiona bado 18 yrs ngoja ufike 40 uanze kuomba mungu upate mume hata ambaye tayari ana familia jiongezeeeeee.
 
Yeah hapa kuna kila kitu vya kukuliwaza,hili song na wengine huenda likawafaaa haswaa...
"loves comes to those who still hope althogh they have been dissapointed" NOMINOMI"go for someone who makes u smile"
Enjoy ur flavour....
Big up sana!!
 
kwa kweli ladies mna akili fupi sio wote ila endeleeni kuwa chombo cha starehe wacha sisi men tujenge ulimwengu ..wadada ovyo kweli ungekuwa makini na bize usinge jizamisha kipuuzi

kwenye halafu hushtuki umri umesogea sana au unajiona bado 18 yrs ngoja ufike 40 uanze kuomba mungu upate mume hata ambaye tayari ana familia jiongezeeeeee

Kaka issue sio kuolewa tu kama ni kuolewa ningeolewa siku nyingi fuatilia post zangu utaelewa. Ila asante umechangia pia.
 
AVOIDING A BAD MARRIAGE. After salvation, the most important choice you will need to make is who to marry. This choice is so important that if you miss it, you will suffer for long, if you get it right then you will enjoy forever. A bad marriage can affect every other area of your life.

This subject is so important, so many married people are hoping to be single again so as to make the right choice. If you are single please don't just be in a hurry to get married, you have the best opportunity to prepare for it. For two people to come together to live in peace and harmony, they must agree spiritually, mentally and physically.

Just like an elephant cannot marry an ant so also a believer cannot marry an unbeliever. If an elephant marries an ant how would they live, if a goat marries a fish where would they meet? You must look for a Godly man or a Godly woman to marry, nothing can beat this. The devil's primary target is the family. He knows that everyone belongs to a family and if he can make two wrong people meet then he has succeeded affecting the community and nations negatively.

Ignore your age and the pressure for a moment, the pressure in a wrong marriage is far worse. God has somebody for you but you must set your priorities right. What do you need in a woman? What do you need in a man? Marriage is not about what you want, it is about who you need, that will make you better while you make him better. It is about destiny. That is why you must know your purpose before you get married. Genesis 2:18.

You must pray before you choose. God knows the best person for you, it is only wise to seek His will. It is very easy to know God's will when sex is not involved. The moment sex is involved and you want to know His will then He will blank you out. Why? Because you have broken His first Law of NO SEX before marriage.

If you have had sex in the past then you need to repent totally and stay away from each other for sometime then you can seek the face of God. Your marriage will not be hell on earth. Your marriage will be honorable in the name of Jesus Christ.

Don't marry for sex, don't marry because you are of age, don't marry because you are getting old, don't marry because you are lonely, don't marry because you need someone to support you financially, don't marry because you mistakenly got pregnant, don't marry because you don't want to lose the person,

don't marry because of family pressures, don't marry because you like the idea of marriage and admire every wedding gown you see, don't marry because all your friends are getting married. But get married because you want to fulfill destiny.

Get married because you want to be a help mate. As a man, get married because you want to fulfill your purpose. God will help you in choosing, please let His will be done. Amen! God bless you!
 
Asante mpendwa wangu hatujaachana isipokuwa mimi ndio najiona kama nahangaika yeye walaa! Mimi ni mwajiriwa na nina kipato cha kawaida ila ndio kila kitu najihudumia mwenyewe yaani hata vizawadi vidogo hakuna sijui kuna watu wako hivyo. JF nimekuwa nikisoma tu kwakweli inasaidia na wabarikiwe wote wanaotoa ushauri kwa moyo.
Mpendwa hapo kwenye suala la zawadi inategemea wanaume wengine hii kitu ya zawadi hawajazoea tokana na makuzi yao. Hivyo ukipewa zawadi shukuru na usipopewa shukuru usijiweke roho juu. Tulia mpendwa kupenda kuna raha yake lkn uangalifu wa unaempenda ni muhimu sana. Kwa mfano kuna wanaojiingiza kwenye mapenzi wakijua kabisa mtu huyu ana ntu wake ila ntakomaa mpaka kitaeleweka sasa ktk hali kama hii inabidi uwe mpole tu.

Kabla ya kuweka mizizi ya kupenda sana jiridhishe juu ya huyo ndugu. Ukiona kweli ana upendo wa kweli basi sintakulaumu ukipenda sana manake binadamu hatuna uwezo wa kujua yaliyojificha kwenye moyo wa mtu. Mchepuko hapana sikushauri kwani si kitu chema maana utakua unatia chumvi kwenye jeraha. Kaa na Mungu unaemwamini atakusaidia na kukuongoza ktk yaliyo mema. Usijilaumu unapotendwa keep calm although is not that easy but you can try. Kila unapoanza mahusiano mapya jiulize kwanini yaliyopita yalifail na kwanini naazisha haya nafikiri itakusaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom