dada mwema
JF-Expert Member
- May 16, 2017
- 212
- 158
Kaza butiNampenda sana huyo binti
Kaza butiNampenda sana huyo binti
Unajua kwanza yule binti kuna boys kibao walikuwa wanamfatilia sana pale maeneo ya kazini na akaonyesha kuwa ni kisiki balaa watu wametumia pesa zao na muda wao mwingi kumfatilia wakatoka kapa, ila mm haikuisha hata wiki, ndo maana nikamwambia hivyo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] nimecheka sana gluk, MBNA ww umetongoza ukakubaliwa afu umeshindwa chakufanya hadi umekuja humu kuomba ushauri, vipi kumzodoa mwenzio[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hapana mkuu ashasema wanapendana hapo anapimwa imani tu na jamaa hajausoma mchezo mbn nikipga huwa wanarudi...!Duu! kesi ya ubakaji hiyo
hahahahahaKuna wimbo flani hivi umenitoka kidogo,japo nakumbuka baadhi ya maneno: ......sijui nini na nini ".... KAMA HAKUTAKI YANINI KUMBEMBELEZA...."
Anayeufahamu anikumbushe tafadhali.
[emoji445] [emoji445]Kuna wimbo flani hivi umenitoka kidogo,japo nakumbuka baadhi ya maneno: ......sijui nini na nini ".... KAMA HAKUTAKI YANINI KUMBEMBELEZA...."
Anayeufahamu anikumbushe tafadhali.
Asante![emoji445] [emoji445]
Boma la utete kumbe mwenzako limedekezwa
Mwanamke hakutaki ya nini kumbembeleza
Umempiga busu na barua umemwandikia
Akikuona anaringa ukimwita anakuchunia[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]