karimu mtila mohamedi
Member
- Jan 4, 2016
- 42
- 10
je kwa siku unapata kiasi gani..ie dollar ngapi.. je ads zina display kwenye haya maandishi ya kiswahili.. nijuze kuna trick nyingi nitakupaHellow wadau blogger wenzangu nina kijiblog changu ambacho tayari nishakiwekea ADSENSE, but eanings ni ndogo sana ,so naomba kunijuza nifanyaje ili earning iongezeke.coznow sipati kitu cha kutosha kabisa mtilah.blogspot.com
Kwa siku napata dollar chache sana, yaani zero point something,ads zinadisplay vizuri ,unaweza kucheki kwenye hii link mtilah.blogspot.comje kwa siku unapata kiasi gani..ie dollar ngapi.. je ads zina display kwenye haya maandishi ya kiswahili.. nijuze kuna trick nyingi nitakupa
swali hujajibu mzee, unapata dollar ngapi per day??Kwa siku napata dollar chache sana, yaani zero point something,ads zinadisplay vizuri ,unaweza kucheki kwenye hii link mtilah.blogspot.com
dollar 0.5swali hujajibu mzee, unapata dollar ngapi per day??
ok nimecheki blog yako, kuna madhaifu mengi sana.. kwanza kwenye kiswahili matangazo hayatokei, hiyo template unayotumia hairuhusu kiswahili ili google ads zitokee.. pia inabidi uweke matangazo ya kusimama.. ni vitu vingi but cha muhimu badili hiyo template kwanza coz hapa huwezi kupata chochote.. trick nyingine zipo deep kidogo but anza na hiyo kwanza utaona mabadiliko makubwadollar 0.5
Hellow wadau blogger wenzangu nina kijiblog changu ambacho tayari nishakiwekea ADSENSE, but eanings ni ndogo sana ,so naomba kunijuza nifanyaje ili earning iongezeke.coznow sipati kitu cha kutosha kabisa mtilah.blogspot.com
Niuzie mimi hiyo blog.
ok asante kwa maelekezo,but naomba unielekeze template ipi mzuri niiweke. then naomba nipatie namba yakook nimecheki blog yako, kuna madhaifu mengi sana.. kwanza kwenye kiswahili matangazo hayatokei, hiyo template unayotumia hairuhusu kiswahili ili google ads zitokee.. pia inabidi uweke matangazo ya kusimama.. ni vitu vingi but cha muhimu badili hiyo template kwanza coz hapa huwezi kupata chochote.. trick nyingine zipo deep kidogo but anza na hiyo kwanza utaona mabadiliko makubwa
template nzuri ambayo inakubali kiswahili ni zote zinazotumia code za nirvana, but hazima mwanekana mzuri sana kuna tempate moja nzuri 2way theme but jina lake limenitoka kidogo.. nitakujuza baadae.. also nilitaka nikuulize unapata watembeleaji wangapi kwa siku??ok asante kwa maelekezo,but naomba unielekeze template ipi mzuri niiweke. then naomba nipatie namba yako
napata watembeleaji wastani ni 1200 kwa sikutemplate nzuri ambayo inakubali kiswahili ni zote zinazotumia code za nirvana, but hazima mwanekana mzuri sana kuna tempate moja nzuri 2way theme but jina lake limenitoka kidogo.. nitakujuza baadae.. also nilitaka nikuulize unapata watembeleaji wangapi kwa siku??
Adsense ipo,but earning yake ni ndogo sana,so natakakujua namna yakuimproveKama unataka adsense nicheki 0713774746
kuna template nauza 15000 ,ina display ads hata kwa post za kiswahili,madhaifu ya code nirvana ha I index kwenye Google ,Adsense ipo,but earning yake ni ndogo sana,so natakakujua namna yakuimprove
hebu nioneshe mfano a hiyo template umeitumia kwenye blog ipi,kuna template nauza 15000 ,ina display ads hata kwa post za kiswahili,madhaifu ya code nirvana ha I index kwenye Google ,
nicheki nitakusetia bure 0652740927
Unaweza ukanionesha mfano wa hizo template zakoumeziapply kwenye blog ipiOngeza traffic tu na kuna template nauza elfu 30 ni balaa
BULOMBORA YETU BLOGhebu nioneshe mfano a hiyo template umeitumia kwenye blog ipi,
vip kaka ulifanikiwa... kama bado nichek kwa 0784-234291.. ndio no. yangu kuna trick nyingi za kupandisha earningsHellow wadau blogger wenzangu nina kijiblog changu ambacho tayari nishakiwekea ADSENSE, but eanings ni ndogo sana ,so naomba kunijuza nifanyaje ili earning iongezeke.coznow sipati kitu cha kutosha kabisa mtilah.blogspot.com
We unazingua tu haupo serious unataka kuchat tu... kama upo serious nipigie 0713774746 nikuelewesheUnaweza ukanionesha mfano wa hizo template zakoumeziapply kwenye blog ipi