Nifafanulie hii picha

Nifafanulie hii picha

Kwa uwelewa wangu mfinyu hiyo picha inahusu kiumbe mwenye uwezo ambaye ameingia mtegoni pasipo kudhania na mtego huo umemdhoofisha hata kukosa tumaini la kutoka ktk mtego huo lkn endapo akiwa huru kwa kutumia uwezo alokuwa nao anaweza kufanya vitu vikubwa ila kuna waliomzidi ujanja wakamtega na ametegeka..
hii naifananisha na utawala/uongozi unaowakandamiza watu wenye uwezo wa kufanya vitu fulani so ili kuwaziba wanatengeneza sheria za kuwabana watu ili wasitanue mbawa zao na kuwazidi watawala/viongozi wao na hivyo hupelekea watu kudhoofika kwa uwezo wao na kukosa tumaini..
MKUU YANGU NI HAYO TU..
 
Msubiri mwekundu wako kama zawadi kwakuwa umewaza kama mimi ...hii haina tofauti sana na Myth of the cave ya Plato katika andiko lake la ukombozi
Natangaza rasmi kuwa KENZY ndio mshindi na zawadi yake ni sh. Elfu kumi taslimu ya kitanzania
Shukrani za dhati kwa wote waliojaribu kushiriki na hata kusoma tuu bila kuwasahau waliotoa compliment za like
~~~Asanteni sana ~~~
 
Usiwe kama yeriko kuanzisha shindano ja kuingia mitini
 
avogadro ishu ni kufafanua
Hizo ni picha zilizotengenezwa na mwana graphics maarufu mchina ambaye ni bingwa wa kubuni na kutengeneza picha za ajabu ajabu na zakutisha zinazotaka kufanana na ukweli na kuzitengenezea habari. Picha hii aliitengeneza kuhadaa ulimwengu kuwa ni malaika alianguka kutoka angani. Watu wanajiuliza malaika gani kavaa mavazi ya pamba tena yaliyoshonwa kienyeji? malaika gani ana mabawa ya kuku?
 
Hata ningefikiria mwaka mzima nisingepata..Chemsha bongo huwa ni nzuri. Mara kwa mara uwe unatuletea.
duh! acha kujidharau mwaka mzima! ha ha ha you can do a batter thing more than this
 
Picha ya mtego ambao umetengenezwa kwa nyavu +pipe hutumika kutega viumbe anuai baharini na kwenye mito lakini hapo inaonyesha huo mtego umemkamata huyo kiumbe.Ukiingia ndani huwezi kutoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom