Nifafanulie hii picha

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,865
730,439
Nitatoa zawadi
1454091166996.jpg
sitanii
 
Tatizo hili liko kifasihi zaidi kila mtu anaweza kufafanua kulingana na yeye alivyoelewa na akwa sahihi lakini maelezo yake yasiwe sawa na ya kwako hivyo ni ngumu kuja na jibu la moja kwa moja
Sijaweka vikwazo na mipaka. .maelezo yenye mantiki zaidi ndio yatanyakuwa zawadi ambayo nitayatengenezea post na mwenye ID atapata cash ya mwekundu
 
Its masonic sign. Kama nembo ya farasi kwenye Yale mabasi ya ubungo yanayoenda mkoani.. Jina limenitoka
 
Mimi nitatumia mfano wa utawala kwa kifupi ni utawala uliokua ukifanya mambo yake kwa kufuata taratibu za duniani na mbinguni ,na baada ya kutoka nje ya huo utaratibu hapo juu kwa udhalimu na kuvunja taratibu za awali utawala huo umeanguka na hakuna namna utasimama tena
 
Mkuu wewe umesahau wale viumbe haramu wa enzi ya Sodoma walitamani au sijui walizini na malaika
hamna mtu aliyezini na malaika katika sodoma,...
ila bible yangu takatifu inasema:wale maliaka walipoenda kwa rutu kumpa taarifa na kumtoa
pale sodoma binadamu/raia wa pale sodoma wakawatamani wale malaika,..
inshort wakaenda kwa rutu hao raia..,.wakagonga rutu kutoka wakawa wanaforce kuingia ndani kuwadhuru wale malaika
wakashindana na Rutu,...rutu akafanikiwa kufunga mlango akaingia ndani,..wale watu wakawa wanautafuta mlango waingie ndani
kuwadhuru malaika,..
ila wale malaika wakawapiga upofu wale watu,..wakakesha wakiutafuta mlango,..so hawakuingia ndani kwa malaika
Malaika wanauwezo watofauti waliopewa na MUNGU,...
mwanadamu huwezi kushindana na malaika never
 
Kwani kutamani ni nini kutokana na hiyo bible yako ???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom