Nifafanulie hii picha

Nifafanulie hii picha

Hujanijibu swali langu umesema katika bible yako takatifu ,nikakuuliza biblia inasema nini juu ya kutamani ???
punguza mhemko.,...
nmekuuliza unaamini katika bible kwanza???
maana mimi ntakuwa nakupa evidence kutoka ktk bible coz ni mambo ya kiroho siwez kutumia mawazo yangu,..
mambo ya bible tutyumie bible,..kma huamini tujue jins ya kufanyaa
 
Mimi na wewe nani ana mihemko ?? Nijibu swali rahisi tu biblia inasema nini juu ya kutamani ???
 
Mr.naona hatuelewani,...
mimi nataka nijue2,..unaamini bible nikupe jawabu lako kwa full evidence kutoka ktk biblia,..
sasa kunijibu hutaki ndugu yangu,.
kwani kma unaamini tatizo nini siuseme mkuu,.
na pia kma huamini sema2
 
hiyo picha ufafanuzi wake ndio huu...Wachoraji wa Beijing,Sun Yuan na Peng Yu yalijaribu kurealize na kutengeneza picha ya fallen angel kwa kutumia material ya Tishufati za binadamu,,,Malaika huyo anaonekana kama bibi mzee akiwa na mabawa mawili ,,,hapo kawekwa kwenye sehemu kama zoo ili watu waweze kumuangalia..... Angalia usije ukasema ni malaika aseeh Utapotea malaika haanguki hivihivi.

Nasubiri zawadi yangu...
 
Naona tutumie busara tu kufunga huu mjadala vinginevyo tutakesha hapa na kukufuru bure ,wewe baki na hiyo biblia yako takatifu ambayo hujui inasema nini juu ya kutamani ila inajua kua wale washenzi enzi ya Sodoma hawakuzini na malaika
 
mimi siwez kukufafanulia maandiko wakati wewe huamini katika maandiko mkuu,.
ni kazi bure
ni sawa na kumpigia mbuz gitaar
 
Mkuu napata tabu kidogo na wewe hivi nilivyo kuuliza kuhusu wale washenzi waliozini na malaika enzi ya Sodoma aliyekimbilia kuitaja sijui mimi biblia yangu takatifu inasema ....ni nani ?? Umeingiza biblia unaulizwa swali umeshindwa kujibu unaishia kuhoji imani yangu ,kwa akili tu ya kawaida unaona maswali yako yana uhusiano wowote ?? Hiyo Biblia isome tu na usijifanye kwamba wewe ndio unaijua sana kuna ma Prof wa theoloji lakini wanachemka vilevile ,usipende sana kukimbilia biblia kama reference ya jambo unalotaka ku prove
 
wapi nlipohoji imani yako????
ndio uhusiano upo,..nmekuuliza nijue nikikupa evidence kutoka ktk bible
nicngeweza kukupa evidence wakati huamini bible
sijifanyi najua bible but kwa ulivyouliza evidence ningetoa wapi wakati umeuliza kitu cha kwenye bible?
alaf neno la Mungu ukisoma mafunuo yanatoka kwa Mungu(huwez kujua hili),..hao matheologist ni watu2 wasikutishe kijana
ntakimbilia bible kma swala linaendana na bible siwez kutumia akili patapohusu bible,...la ikibidi2
 
Umeingiza biblia unaulizwa swali umeshindwa kujibu
nilikwambia nijibu nikupe jawabu kwa evidence,..
kwani kunanini ukisema unaamini bible??au huamini???
kma huamini nisingekupa evidence kutoka katika bible
 
wapi nlipohoji imani yako????
ndio uhusiano upo,..nmekuuliza nijue nikikupa evidence kutoka ktk bible
nicngeweza kukupa evidence wakati huamini bible
sijifanyi najua bible but kwa ulivyouliza evidence ningetoa wapi wakati umeuliza kitu cha kwenye bible?
alaf neno la Mungu ukisoma mafunuo yanatoka kwa Mungu(huwez kujua hili),..hao matheologist ni watu2 wasikutishe kijana
ntakimbilia bible kma swala linaendana na bible siwez kutumia akili patapohusu bible,...la ikibidi2
Umeona sasa hizi ngonjera zako ??? Hebu pitia ulichokiandika hapo juu ,umeniuliza unaamini katika bible ,nimekuuliza unahoji vipi imani yangu ,unaniuliza ni wapi ulipohoji imani yangu ,,KUMBE NENO "KUAMINI "katika bible halina uhusiano na IMANI ?? ulishindwa vipi kunijibu swali langu kama wewe mwenyewe kwa haya maneno yako umeona kabisa swali langu halina uhusiano na imani ??? alaa kumbe MATHEOLOGIST NI WATU ?? sasa wewe na hiyo Bible yako ni MESIAH ??? Kwamba evidence utakazotoa wewe ndio zenye maana ??
 
alaa kumbe MATHEOLOGIST NI WATU ?? sasa wewe na hiyo Bible yako ni MESIAH ??? Kwamba evidence utakazotoa wewe ndio zenye maana ??
soma dadavua hii sentens,..neno la Mungu ukisoma mafunuo yanatoka kwa Mungu(huwez kujua hili),..hao matheologist ni watu2 wasikutishe kijana..hata wewe unaweza kusoma neno ukamzd huyo theologist,..
kwani matheologist wangapi wanasoma bible then hawaenendi matendo yao na bible
naniwatenda dhambi2,...
jamaaa we ni mbishani,..
mi sipotayar kubishana
ila neno la biblia kama mtu haaamini ktk Bible Huwez kumpa mtu na kumuelewesha mtu neno la MUNGU,..
mtu huyo huona bible ni upuuzi,...bible said
thats y nikataka nijue kuwa unaamini bible huamini??
but ok tuishie hapa....................................
 
Yaani hapa unachanganya chai na mlenda ,kitaloloo na ngubiti yaani ilimradi tu umejibu ,anayebishana nani ?? Wewe unatumia kigezo gani kujua kwamba siamini hicho unachosema sijui katika bible ?? Umri wote huu ndio wewe uje kunielewesha kuhusu bible ?? Unakoelekea ni kwenye upumbavu sasa
Nijibu swali langu Kutamani ni nini katika hiyo bible yako takatifu sio unakuja na maneno mengi yasiyo na maana
Unaelewa kazi ya matheologist ?? Ungekua unajua kazi yao usinge watenganisha na dhambi
Biblia yenyewe unayojifanya unaijua inasema hakuna mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke aliye mkamilifu ,ungekua unalijua hilo wala swala la matheologist kutenda dhambi lisingekushangaza
 
Kuna mchuano kati ya watu watatu mmoja ataondoka na zawadi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom