Niendelee kujitunza hivi hivi au

Niendelee kujitunza hivi hivi au

Maandiko na mafundisho ya dini yako yanakwambia nini? fuata hayo ndo yenye msingi wa kweli usisikilize binadamu
 
aisee fanya haraka maana ukichelewa na ukija kuona rangi ya ua ukubwani ni lazima uwe mtu usiye ridhika kutafuta rangi za maua kwa kila mwanamke....
 
mbona miaka 20 michache sana.......
ukishindwa kujitunza tafuta jimama likutunze
 
Jitunze mpaka ndoa, faida ni nyingi sana za kujitunza. ila usijitunze kwa lengo la kupata bikra, hiyo ni kama majaaliwa tu jitunze kwa faida yako binafsi, kiakili, kiroho, kimwili na kisaikolojia.
 
Hivi kuna madhara yoyote ya kutokufanya ngono kabla ya ndoa sababu mm nina miaka ishirini{20} sasa lkn cjkutana na binti yeyote kimwili...na kama hakuna madhara nianze au niendelee kuji2nza alaf kila siku naomba Mungu nije nioe bikira na ndio maana naji2nza hivi nitampata bikira kweli?au ni ndoto za mchana

Kijana kama hujaanza ngono mshukuru sana Muumba wako maana wote walioanza kufanya huo mchezo wamejikuta watumwa wa ngono...

Mungu huwa hamtupi mja wake na maombi yako atayatimiliza tu maadam utakuwa muaminifu kwake...
 
ni kweli kabisa
 
Soma kitabu kinaitwa ''BIKIRA YANGU'', mwandishi wa kitabu ni Privatus Karugendo.
 
Hivi kuna madhara yoyote ya kutokufanya ngono kabla ya ndoa sababu mm nina miaka ishirini{20} sasa lkn cjkutana na binti yeyote kimwili...na kama hakuna madhara nianze au niendelee kuji2nza alaf kila siku naomba Mungu nije nioe bikira na ndio maana naji2nza hivi nitampata bikira kweli?au ni ndoto za mchana

kama unataka bikra weka oda mapemaaa tafuta wa umr wako au aliye chin yako miak 2 au m3 nae umwambie ajitunze ila useme bikra lol ukubwani haumpati N.'goo
 
Mkuu upo sawa kabisa kutunza bikra yako ya kiume ila angalia sana walimwengu wana vishawishi vingi kweli!!
 
Endelea kujitunza rafiki gharama ya uasherati ni kubwa harufu yake hakuna manukato yanayoweza kuithibiti,ndoa nyingi zinapata shida coz wengi wanaoana wakiwa na majeraha ya uasherati walioufanya kabla hivyo kujaribiwa kumlinganisha mke/mume wake na ex wake na anapobaini upungufu ndipo habari za michepuko huchukua nafasi,migogoro isiyo na kichwa wala miguu huzuka kama upepo wa kisulisuli kisa wamekutana wakiwa contaminated na uasherati asikwambie mtu ndoa ya bikra kwa bikra inanoga aisee unakuwa na Uhuru wa asilimia mia moja na mwenzi wako,Jitunze ili Umpe Mungu nafasi ya kukupa mwenzi wa kufanana nawe(bikra) usifanye kosa itakugharimu maisha! I'm talking out of my personal experience no bla bla at all if in doubt try and see!
 
hongera kwa kujitunza kijana na wewe endelea hivyo hivyo na msimamo wako wala usigeuke nyuma huwezi kufa ukichelewa kufanya ngono.
 
kichupa kitaganda! shauri yako ..........

Grand PA
 
Kama ni kweli kwanza hongera. Endelea na msimamo wako wala usitishwe na baadhi vichwa vilivyojipindia humu. Watu wengi humu wanatoa ushauri kwa kutaka "tuwe wengi" kumbuka siku zote watu wafanyao vitu vizuri na vya kipekee huwa wachache na Mara nyingi hukumbana na dhihaka za walioshindwa.
 
Jitunze tu kijana , kwani ukianza hutoweza acha na utapoteza muda na rasilimali fedha nyingi sana......
 
kote hakuna shida ila kuoa bikira mmh!!!
watoto wenyewe wanajinanihii tangu wapo tumboni..!!!
 
Kama ni kweli kwanza hongera. Endelea na msimamo wako wala usitishwe na baadhi vichwa vilivyojipindia humu. Watu wengi humu wanatoa ushauri kwa kutaka "tuwe wengi" kumbuka siku zote watu wafanyao vitu vizuri na vya kipekee huwa wachache na Mara nyingi hukumbana na dhihaka za walioshindwa.

Sana mkuu
 
Back
Top Bottom