Niendelee kujitunza hivi hivi au

Niendelee kujitunza hivi hivi au

Dah kwa kizazi hiki kumpata bikra ni majaliwa tuu coz hawa watoto wenyew duh hatari ila jipe moyo jitunze jithamini achana na maneno ya walio shindwa mungu yu Pamoja nawe
 
Hivi kuna madhara yoyote ya kutokufanya ngono kabla ya ndoa sababu mimi nina miaka ishirini{20} sasa lakini sijakutana na binti yeyote kimwili na kama hakuna madhara nianze au niendelee kujitunza alafu kila siku naomba Mungu nije nioe bikira na ndio maana najitunza hivi nitampata bikira kweli?au ni ndoto za mchana.

Yaani Huna tofauti na mimi, nilikaa 30years hadi nilipoa, hakuna madhara tulia....
 
Ukioa lazima ugongewe. Na wanawake wa siku hizi!! Labda upate bikra mwenzako.

Tafuta sifa za ubikra tu. Utagongewa mpaka ushamba utakapo kutoka.
 
Endelea kujitunza hakuna madhara ila jitahidi sana mazoezi
 
Dah kwa kizazi hiki kumpata bikra ni majaliwa tuu coz hawa watoto wenyew duh hatari ila jipe moyo jitunze jithamini achana na maneno ya walio shindwa mungu yu Pamoja nawe

poapoa mzazi nitafanyia kazi uxhaur wako
 
Ukioa lazima ugongewe. Na wanawake wa siku hizi!! Labda upate bikra mwenzako.

Tafuta sifa za ubikra tu. Utagongewa mpaka ushamba utakapo kutoka.

ww nina oa mtoto wa kilokole
 
mmi nlijitiza mpaka nlipo maliza frmsix nilikuwa na miaka 20 ila uzalendo ukaja nishinda ,but we jilinde hvo hvo hamna madhara yeyote
 
Back
Top Bottom