Aiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .

Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa

Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82

Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribia <<<<<<<ACHA UONGO MARA CHUO MARA UMECHAGULIWA KIDATO CHA TANO UNA DIVISION ONE MIJITU MIONGO HUMU NDANI NDIYO MAANA HATA PICHA HAIWEKI INAOGOPA KUABIKA