kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,351
- 12,686
Kapata alichokuwa anakitafuta. Yupo anatumikia Ban mpaka muda huu.
Na Leo Tena yupo kwenye kanyambasira

Kapata alichokuwa anakitafuta. Yupo anatumikia Ban mpaka muda huu.

Wakuu hatimaye nimefaulu kujiunga kidato cha tano kwa kupata division one ya point 10
Matokeo yangu ni kama ifuatavyo
Phys =B
Chem =A
Maths=A
Bios=A
Geog=D
Eng=C
Kisw=B
Hist=A
Civ=C
Nishaurini kati ya PCM au PCB niende wapi maana kote naskia ni pazuri
Wapi ni rahisi kufaulu kwa matokeo ya form 6?
Pia nahitaji mniambie tuishen nzuri hapa dar nataka jumatatu nianze rasmi kusoma tuisheni
matokeo mazuri PCM ndio mpango mzima na baadae nakushauri usome mechanical engineeringWakuu hatimaye nimefaulu kujiunga kidato cha tano kwa kupata division one ya point 10