Niende PCM au PCB ?

Niende PCM au PCB ?

Huyu anaonekana ana upungufu wa akili...si ndo alisemaga ban ya hf imempa A+ mara anasoma ARU
adc8457ec1c7e875a326b8e495b88f48.jpg
 
nenda ile aliyosomea raisi wetu magufuli.
 
Huwez kujua upite wapi akat unapoenda hupajuii,,
Yaan watoto siku ezi cjui mnafuatiliaga nn kama mtu hadi 4m four hujuiii ukasome nn,,,,,,,
 
Umepata one ya kumi au siyo, gonga pcm ukiwa ukiwa unajua kuwa unakuja kuwa Fundi haijalishi ni fundi wa wa nini, aliyepata div 2 PCB atakuja kuwa dactari, alive pats div 3 ya mwisho HGL anaweza akakosa shule ya goverment akaenda private akatusua vilevile akajakuwa mwanasiasa( mbunge) hatimaye Waziri wote mkawa chini yake, hapo ndipo utakapojua kwamba siasa inalipa Tanzania kuliko hivo vingine
 
kama hadi sasa hujui ni kipi unatakiwa kusomea basi wewe future yako inamashaka sana
 
Mkuu kumbe huyu jamaa alikuwa na nguzi nyingi hivi ambazo hazisomeki?
 
Nenda
Wakuu hatimaye nimefaulu kujiunga kidato cha tano kwa kupata division one ya point 10


Matokeo yangu ni kama ifuatavyo

Phys =B

Chem =A

Maths=A

Bios=A

Geog=D

Eng=C

Kisw=B

Hist=A

Civ=C


Nishaurini kati ya PCM au PCB niende wapi maana kote naskia ni pazuri

Wapi ni rahisi kufaulu kwa matokeo ya form 6?


Pia nahitaji mniambie tuishen nzuri hapa dar nataka jumatatu nianze rasmi kusoma tuisheni
CCP mkuu nadhani patakufaa!hhahahahah
 
Back
Top Bottom