Prince Dos Santos
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 1,047
- 1,326
Toto jinga sana hili lingekuwa kwetu kule nchini Mara wangeligechaHuyu jamaa nimeona uzi huu nikakumbuka uzi wake wa PCB . BAHATI nzuri nyuzi zake kumbe zipo
Toto jinga sana hili lingekuwa kwetu kule nchini Mara wangeligechaHuyu jamaa nimeona uzi huu nikakumbuka uzi wake wa PCB . BAHATI nzuri nyuzi zake kumbe zipo
kiongozi acha chuki binafsi na mchepuo a PCM watu wanagonga engineering na wanapata ajira vizuri tu....acha kukaririUmepata one ya kumi au siyo, gonga pcm ukiwa ukiwa unajua kuwa unakuja kuwa Fundi haijalishi ni fundi wa wa nini, aliyepata div 2 PCB atakuja kuwa dactari, alive pats div 3 ya mwisho HGL anaweza akakosa shule ya goverment akaenda private akatusua vilevile akajakuwa mwanasiasa( mbunge) hatimaye Waziri wote mkawa chini yake, hapo ndipo utakapojua kwamba siasa inalipa Tanzania kuliko hivo vingine
Eti samahani, wewe ni mhaya amaWakuu hatimaye nimefaulu kujiunga kidato cha tano kwa kupata division one ya point 10
Matokeo yangu ni kama ifuatavyo
Phys =B
Chem =A
Maths=A
Bios=A
Geog=D
Eng=C
Kisw=B
Hist=A
Civ=C
Nishaurini kati ya PCM au PCB niende wapi maana kote naskia ni pazuri
Wapi ni rahisi kufaulu kwa matokeo ya form 6?
Pia nahitaji mniambie tuishen nzuri hapa dar nataka jumatatu nianze rasmi kusoma tuisheni
Mimi nafikiri huyu mtoto ana matatizo makubwa sana!Huyu jamaa nimeona uzi huu nikakumbuka uzi wake wa PCB . BAHATI nzuri nyuzi zake kumbe zipo
Umepitia nyuzi zake?Mimi nafikiri huyu mtoto ana matatizo makubwa sana!
Sio chuki hiyo, katika elimu ya Tanzania automatically inakuwa hivo,kiongozi acha chuki binafsi na mchepuo a PCM watu wanagonga engineering na wanapata ajira vizuri tu....acha kukariri
Huwa naziona mara nyingi ni za kijinga kijinga hivi..Umepitia nyuzi zake?
unataka kuwa nani baadaye kama unapenda masuala ya afya kozi zote nenda pcb kwaa kozi za engineering soma pcm ingawa ata pcb anaruhusiwa kusoma kozi za uhandisi : kombi zota ni nzuri na kazi zake zinaigiliana katika kuomba vyuo ingawa pcb anasoma masomo memngi kuliko pcm namaanisha bam kama somo linloongezeka kwa upande wakeWakuu hatimaye nimefaulu kujiunga kidato cha tano kwa kupata division one ya point 10
Matokeo yangu ni kama ifuatavyo
Phys =B
Chem =A
Maths=A
Bios=A
Geog=D
Eng=C
Kisw=B
Hist=A
Civ=C
Nishaurini kati ya PCM au PCB niende wapi maana kote naskia ni pazuri
Wapi ni rahisi kufaulu kwa matokeo ya form 6?
Pia nahitaji mniambie tuishen nzuri hapa dar nataka jumatatu nianze rasmi kusoma tuisheni
OkHuwa naziona mara nyingi ni za kijinga kijinga hivi..
SawaHuyu dogo anapenda sana kudhani anaaweza sumbua akili za watu, achaneni nako
Acha chukiUmepitia nyuzi zake?
Tukuelewejw mleta Uzi????
Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa
Huu Uzi wako na Uzi wa Leo tuchukue lipi?
Mwanzoni ulisema umesoma PCB halafu Leo unaleta matokeo ya kidato cha NNE???
Ha ha ha, watu mmesha ifanya JF kama kijiwe cha kahawa, hata wanaohitaji msaada wa ukweli wanaweza kukosa kwa sababu ya hizi stories za kutunga.
Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa
Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club
Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?
Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu
Muhas Hiyoo, Nasubiria tuu jina langu hapa
Msaada nataka ku appeal mitihani ya taifa

Huyu anaonekana ana upungufu wa akili...si ndo alisemaga ban ya hf imempa A+ mara anasoma ARU
HUU MTANDAO UNA MAMBO MAANA LEO MTU ANAJITAMBULISHA MWANAFUNZI, KESHO MFANYAKAZ BENK, MARA YUPO SINGO IKITOKEA MADA YA NDOA ANAKOMENTI KUHUSU MKE ALIENAE BASI NAWAOMBA MUWE NA UNIFORM CODE YA UONGO.
KWENYE MADA SASA
SINA HAKIKA KAMA MTU ALIEPATA DIVISION ONE YA KUMI AKASHINDWA KUJUA NI NINI ATAENDA KUSOMEA TENA HIKI KITU KINAKUJA KUFAHAMIKA KABLA HAJAFANYA MTIHAANI KWAHIYO WEWE ACHA KUCHEMSHA WATU UBONGO INA MAANA HAUJUI NDOTO ZAKO NI ZIPI?
UNAKUMBUKA ILE POST YAKO YA KUSEMA UMESHINDWA KUWA EXILED? SASA LEO UMEBADILI UHUSIKA PALE ULIKUWA MWANACHUO SASA HIVI UMEMALIZA FORM FOUR
HUYO LIONGOOOO HALINA LOLOTE NI LITEJA TU LINAVAMIA UNADHANI ELIMU NI KUJAMBA TU UKIJIBANA KIDOGO USHUZI UNATOKATukuelewejw mleta Uzi????
Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa
Huu Uzi wako na Uzi wa Leo tuchukue lipi?
Mwanzoni ulisema umesoma PCB halafu Leo unaleta matokeo ya kidato cha NNE???
HUYU TAPELI HATA ELIMU HANA MSOMI HAYUPO HIVYOHUU MTANDAO UNA MAMBO MAANA LEO MTU ANAJITAMBULISHA MWANAFUNZI, KESHO MFANYAKAZ BENK, MARA YUPO SINGO IKITOKEA MADA YA NDOA ANAKOMENTI KUHUSU MKE ALIENAE BASI NAWAOMBA MUWE NA UNIFORM CODE YA UONGO.