Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,073
Wangemblock hata miezi 6 au mwaka 1 naona ana tabia za kiswahili sana
Sifa kubwa ambayo muongo anapaswa kuwa nayo ni kuwa na kumbukumbusidhani kama atarudi.
Mkuu hata hujasoma post za wadau? Huyu unayemshaur unapoteza muda wako. Soma post za wadauNenda PCB,,,, Dogo,,,,, yan magoli uko,,,,,pcm nenda kama una ndugu yako wa kukuunhanisha,, vngonevyo utasota,,,,,, au kama una ndoto ya ualim poa, ndo upge pcm coz iyo comb ualim ndo fasta
Mkuu kumbe huyu jamaa alikuwa na nguzi nyingi hivi ambazo hazisomeki?
Yeah. Nimeziona pia.Hizo ni zile zinasohusu mambo ya shule, ana nyuzi nyingi sana za kijinga kijinga yaani.
Mkuu naona umeamua kuwashughulikia mamluki wa vidato hahahahaaaaTukuelewejw mleta Uzi????
Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa
Huu Uzi wako na Uzi wa Leo tuchukue lipi?
Mwanzoni ulisema umesoma PCB halafu Leo unaleta matokeo ya kidato cha NNE???
Wanaleta utani wa kitoto sana. Kuna mwingine kaweka uzi unajichanganya. Mara yupo form six mara fourMkuu naona umeamua kuwashughulikia mamluki wa vidato hahahahaaaa
Daaaa umenifurahisha sana ivi kuna hii combination eeePiga CBM ndo umefaulu zaidi.







jf bana hadi stress zimeniisha sio kwa kucheka hivi vituko.