Niende PCM au PCB ?

Niende PCM au PCB ?

Thing about our society, ukifaulu u are expected usome PCB /PCM...wengine hapa we had no dreams of studying medicine bas tu sjui Ni maslahi sjui Ni dhana Kama ukifaulu uende masomo ya science..I was the best debator in my school,dreams nyingiiii ukiwa secondary..nlichukua science akati law ndo kitu nlichotakiwa niwe nasoma saiv...anyway,hongera,Kama unataka kuchukua science basi study PCB,kaza buti A level sio mchezo..kozi za afya ziko kibao,utafika.
 
Kama kwa ufaulu huo bado unauliza uende wapi ambapo utafaulu vizuri basi mi nakushauri nenda WCB ukaimbe mziki
 
Thing about our society, ukifaulu u are expected usome PCB /PCM...wengine hapa we had no dreams of studying medicine bas tu sjui Ni maslahi sjui Ni dhana Kama ukifaulu uende masomo ya science..I was the best debator in my school,dreams nyingiiii ukiwa secondary..nlichukua science akati law ndo kitu nlichotakiwa niwe nasoma saiv...anyway,hongera,Kama unataka kuchukua science basi study PCB,kaza buti A level sio mchezo..kozi za afya ziko kibao,utafika.
[quote uid=416094 name="Bacary Salama" post=19786940]Nyinyi acheni mbwembwe kama mnamshauri mwambien who z best PCM o PCB cio mnamletea zengwe au ndo mmesoma HGL[/QUOTE]<br />Mkuu ilikuwa hivi. Huyu jamaa awali alileta post akisema kapata chuo Muhas,matokeo ya kidato cha NNE yalipotoka akaleta tena huu uzi. Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club
 
Kama kwa ufaulu huo bado unauliza uende wapi ambapo utafaulu vizuri basi mi nakushauri nenda WCB
[quote uid=416094 name="Bacary Salama" post=19786940]Nyinyi acheni mbwembwe kama mnamshauri mwambien who z best PCM o PCB cio mnamletea zengwe au ndo mmesoma HGL[/QUOTE]<br />Mkuu ilikuwa hivi. Huyu jamaa awali alileta post akisema kapata chuo Muhas,matokeo ya kidato cha NNE yalipotoka akaleta tena huu uzi. Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club
 
Kijana kumbe hata form 4 ulikuwa hujamaliza? Arrgh! ...nasikitika sana kama nlishawahi kuthubutu kukuita 'mkuu' na wewe kwa mbwembwe ukashindwa kutuambia kaka zako kuwa wewe hukuwa 'mkuu' na ukachukua jukumu la kuuvaa huo ukuu. Naomba ututake radhi kabla hatujakupa mwongozo na misingi! Na utuahidi kwazia leo hutojishabihisha na neno 'mkuu'!
 
Sasa mkuu kwa performance hyo chuoni nn kilikutokea hadi ukalambwa sup 8??,ai bata batani zilikuwa kwa sana dogo?
 
mkuu wewe si umetoa uzi upo chuo ushapata sup 5.. huu uzi vp tena kusema unaanza advance.....😡
 
najaribu kufikiria IQ ya huyu jamaa kama inamzidi hata chizi anayeweza kuvuka barabara ya mjini...!!!🙁
 
Huyu mtu ni muongo tu hana lolote. Nawasiliana na ma mods wampe ban ya maisha
 
Mi nilisoma PCB advance. Nakushauri usome PCM kws uzoefu mdogo
 
Back
Top Bottom