Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
Gharama zote hizi alafu mshaingia lodge anakwambia yupo kwenye period
Hiyo sio shida... simu siku hizi zinapokea line zaidi ya moja...
Gharama zote hizi alafu mshaingia lodge anakwambia yupo kwenye period
Jiandae kwenda kulipa kodi ya chumba... 60,000 x 6 = 360,000/=. Utalipia soft drinks na baadae lunch mtakayokula (roughly 30,000). Ukitema huo mkwanja wa kodi leo leo, na ukawa mjanja baadae mtaenda kugwegwedana... sh minimum 30,000 chumba, ndom 2,500, (hatataka salama wala dume za 200), lakini pia utamlipia bajaji ya kurudi kwa at least 5,000.
Andaa laki nne na nusu ikiwa ni pamoja na tahadhari (anaweza kuwa na rafiki yake wakati wa lunch)... Siku njema buzi...
Usiende na hela wala kondomu...
Kwa kuwa unataka kumla basi nenda na sahani, uma, kijiko...halafu usisahau na chachandu kunogesha mlo wako.
Ila wewe umeshindikana, unataka kila kitu leo leo
Usiende na hela wala kondomu...
Kwa kuwa unataka kumla basi nenda na sahani, uma, kijiko...halafu usisahau na chachandu kunogesha mlo wako.
Ila uanaume gharama sana jamani! Ndio maana mnakuwaga na hasira eeh?
Gharama zote hizi alafu mshaingia lodge anakwambia yupo kwenye period
Ahahaha.
best nimekumisije? Njoo nikuchune basi kidogo
Kondom inapitisha umeme?
Wewe ni mseja? Mimi UKIMWI wewe raha! Wivu tuu. Nimeamka na zaliwewe nenda tu ila UKIMWI unausikia tu dogo badala ya kuwaza maisha unawaza mapenzi unaweza ukaenda ukala kitu siku moja ikaghalimu maisha yako yote inatia huruma sana ila kama unataka kuishi maisha ya kunywa vidonge muda wote na maisha yako yote nenda
Unajua nami nilikua najiuliza huyu vipi au post ya jana? duh kweli kua uyaone!!loh, hii nchi kweli ina vichwa? mwenetu hauna kazi? au wewe mwanafunzi hauna cha kufanya glossary saa4 unaenda kula supu unabeba na kondomu? na huyo mwanamke naye hana kazi au?..kua uyaone!:der::der:
This delay technic never fails aisee! sijui ina ka charm gani hii ndio ilisababisha nikaitwa 007Mkuu is this you? Hakuna kitu Wanawake hawapendi kama papara...watu wengi wanakosa mambo kwa papara..ungekuwa mjanja ikifika time mpigie mwambie siku ingine...but Najua Huwezi
Sina hakika na umri wako, lakini kaka hujui tu, Yupo kimkakati huyo...JIPANGEHujui kusoma? Nimesotea 3 years. Unataka nichekwe kwa missed opportunity. Nahis leo mashrtsni yske yamepanda. 3yrs bila bila leo saa 10 alfajiri anachat, hhalafu we unataka nisubiri? No thank you