mimiMEE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 285
- 102
Usiende na hela wala kondomu...
Kwa kuwa unataka kumla basi nenda na sahani, uma, kijiko...halafu usisahau na chachandu kunogesha mlo wako.
wallah lunch itakuwa tamu sana hiyo......hahahaaahhaha
Usiende na hela wala kondomu...
Kwa kuwa unataka kumla basi nenda na sahani, uma, kijiko...halafu usisahau na chachandu kunogesha mlo wako.
Mkuu is this you? Hakuna
kitu Wanawake hawapendi kama papara...watu wengi wanakosa mambo kwa
papara..ungekuwa mjanja ikifika time mpigie mwambie siku ingine...but
Najua Huwezi
haiwezekani!!!! je akienda na pesa bila kondomu na akapewa si mchupuo peku tayari??? loh. baki njia kuu,tanzania bila ukimwi........
Upo? Kwanini umesoma uzi huu! Chonde ucseme kwa njia kuu kuwa nakaribia kuchepuka. Narudi mainroad kesho tu
Ni rahisi kumchuna mamba kwa ulimi kuliko watu, afu siku hizi sijui kawa boni ageni,anakemea huyo.
Alafu at the end unaibuka hapo na kaumeme... (rip my friend ambaye alinunua "umeme" kwa kwa misimbazi 20....)...
ha haaa, ushauri gani sasa huu rafiki?Mkuu is this you? Hakuna kitu Wanawake hawapendi kama papara...watu wengi wanakosa mambo kwa papara..ungekuwa mjanja ikifika time mpigie mwambie siku ingine...but Najua Huwezi
Ni rahisi kumchuna mamba kwa ulimi kuliko watu, afu siku hizi sijui kawa boni ageni,anakemea huyo.
Simwamini tena mwanamke
Upo? Mbona mimi nilikusotea mda mrefu mwisho nikakubali yaishe? Uanaume ni pamoja na kukubali kuvikosa unavyovipendaha haaa, ushauri gani sasa huu rafiki?
mwenzio kamsotea miaka 3 halafu ahairishe hivi hivi tu?
hapo ana-imagine tuuuuuuuuu.
All in all, nimeshangaa hii mada kutoka kwa mdogo wangu moto2012
ha haaa, rafiki tofauti yetu sisi na wao, sisi hatukupeana appointment......Upo? Mbona mimi nilikusotea mda mrefu mwisho nikakubali yaishe? Uanaume ni pamoja na kukubali kuvikosa unavyovipenda
ha haaa, rafiki tofauti yetu sisi na wao, sisi hatukupeana appointment......
sasa wao wamekubaliana kabisa wakutane, tena bar, asubuhi kweupeeeeee, hapo kuna kukubali yaishe hivi hivi tu? labda mdada awe hajavutiwa na mkaka, otherwise.......
kidada na kaka/ kirafiki usiofungwa (sio ule wanaosemaga hakuna urafiki kati na me na ke), umuhimu hata mimi nauonaKuna umuhimu wa kupeana appointment now ya kidada na kaka sasa..
Hajatokea bsndugu. Mhh lakuvunda
Ha ha ha ahsante kwa updatesSimwamini tena mwanamke
DANI ALVES alinifurahisha sana wakati ameenda kuchonga kona akatupiwa ndizi, alichofanya akaokota ndizi akala kwanza alipomaliza ndio akapiga kona.Kazini huendi.Mwenye matokeo ya arsenal vs Newcastle