terrat JF-Expert Member May 6, 2015 204 98 Jun 18, 2017 #1 Eti mwanamke anaweza kukufanya chochote kama akibaki Na nguo yako? Mfano sweta au t-shet ? Kumbuka, Mwanamke huyo sio mkeo, ni demu tu! Swali langu ni,, unaweza fanywa zezeta kisa nguo?
Eti mwanamke anaweza kukufanya chochote kama akibaki Na nguo yako? Mfano sweta au t-shet ? Kumbuka, Mwanamke huyo sio mkeo, ni demu tu! Swali langu ni,, unaweza fanywa zezeta kisa nguo?
Perfectz JF-Expert Member May 17, 2017 8,844 27,551 Jun 18, 2017 #2 Ngoja wataalamu wa mahusiano ya kichawi waje
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 51,991 69,385 Jun 18, 2017 #3 Ngoja waliowahi kufanywa Mazezeta watupe uzoefu